PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nchimbi, Nchimbi, Nchimbi ninakuita mara tatu​

​

Unakumbuka siku ile mlivyopandishwa wewe na Lissu madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima​

usidarau tendo lile, itendee hii nchi haki!​

Ohooo !
Sasa unamshitaki kwa Mungu wa mbinguni ???!!
Hatari sana. Ngoja Tusubiri tuone ๐Ÿ˜ณ !
 
Sasa hivi LISSU akisema HAKI imeshindikana kwa njia za AMANI kwahiyo tuzidai kwa NGUVU namfuata Msituni,civil war mara nyingine huwa inalazimishwa na Watawala.
Wewe mtutsi nenda msituni kwenu Rwanda hapa hutaweza hata kufika msituni kabla hatujakutoa kamasi. Nyumbu mkubwa!
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.

Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Mh. Makamu wa Rais shikamoo!
 
Tutafika huko, maana mmeshatulazimisha vya kutosha. Hata wao huko Congo walishateswa sana enzi za Mobutu, taratibu taratibu wamefika hapo walipo leo.
Tunawasubiri kwa hamu sana. Wewe ulishasema siku nyingi unataka kupindua nchi. October siyo mbali.
 
Kwa hiyo hao wahariri kumbe wameenda kupokea tu maagizo huko Songea kuhusu no reform, no election! Kweli njaa siyo poa hata kidogo.
Maagizo ya nini, kwl nyumbu mmechanganyikiwa mpk mnagombana na waandishi wa habari kuripoti yaliyojiri?
 
Yeye ndio kaandaa huo mkutano wa waandishi wa habari. Toka lini waandishi wa habari wakafanyia mkutano wao Songea? Hayo anayoongea ndio ajenda ya hicho kikao cha hao waandishi wa habari.
Paskali Mayalla
Kwani Songea kuna nini mpk wasiripoti kutokea huko? Waandishi wa habari wako kwenye msafara wa katibu mkuu wa CCM Comrade Balozi Dk. Emanuel Nchimbi and our next Vice President. Acha kupanic!
 
Wewe mtutsi nenda msituni kwenu Rwanda hapa hutaweza hata kufika msituni kabla hatujakutoa kamasi. Nyumbu mkubwa!
Hoja zikiwashinda hiwa mnahamisha goli Nyerere pia alikuwa ni Mtutsi.
 
Tunawasubiri kwa hamu sana. Wewe ulishasema siku nyingi unataka kupindua nchi. October siyo mbali.
Si uje hata leo, au mpaka mabwana zenu vyombo vya dola viwasaidie?
 
Kwani Songea kuna nini mpk wasiripoti kutokea huko? Waandishi wa habari wako kwenye msafara wa katibu mkuu wa CCM Comrade Balozi Dk. Emanuel Nchimbi and our next Vice President. Acha kupanic!
Mimi nipanikishwe na majizi ya kura?
 
Si uje hata leo, au mpaka mabwana zenu vyombo vya dola viwasaidie?
Mkuu, Tundo mzigo wako huo๐Ÿ‘‰๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.

Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
KIBURI CHA WATATUFANYA NINI!
 
Back
Top Bottom