Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
chadema ni kifuko cha tumbaku
Unamuuliza nani!Mtu akigomea uchaguzi anakuwa amefanya kosa gani kisheria?
Nakuuliza wewe hapo kipara cha zamani.Unamuuliza nani!
Hoja gani? Mnashikiwa akili na Lissu.Ningemuona wa maana kama angejibu hoja za Chadema
Maisha magumu ni zaidi ya virungu. Hii nchi hamuwezi kujimilikisha watu wa chache.Yupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!
kamuulize dikteta uchwaraNakuuliza wewe hapo kipara cha zamani.
Huyo tulishamzika Chato tangu 2021.kamuulize dikteta uchwara
Simjui.Nenda kampigie Hassani joh huko beh!
Hawataweza.Wapo tayari kuua watu wote
Sijatumwa na mtu yeyote napigania HAKI kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi.Wewe umetumwa na PK tunakujua.
Mduruma mwenzio!Simjui.
Ni Chairman Tundu lissu wa chadema kama wewe humjui muulize john mremaHuyo tulishamzika Chato tangu 2021.
Lissu amechaguliwa kwa uchaguzi huru na wa haki January uliorushwa live kuanzia kupiga kampeni, kupiga kura, kuhesabu kura , kutangaza matokeo.Ni Chairman Tundu lissu wa chadema kama wewe humjui muulize john mrema
Kwanini mnaamini njia pekee ya kujibu na kutatua hoja na matakwa ya wananchi walio wapa dhamana ni kuwakupiga na kuwaumiza? Inamana mmesha sahau kwamba mpo hapo kwa niaba ya hawa mnao waza kuwaumiza? Au mnadhani mpo hapo kwa ajili yenu wenyewe? Mjifunze kuwajibika kwa wanachi na kwa nchi na sio kuwajibika kwa manufaa ya watu.Yupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!
Muuloze heche kwanini kamjeruhi yule dada na yeye ndio kapewa dhamana ya kuwalinda wanachama wake!Kwanini mnaamini njia pekee ya kujibu na kutatua hoja na matakwa ya wananchi walio wapa dhamana ni kuwakupiga na kuwaumiza? Inamana mmesha sahau kwamba mpo hapo kwa niaba ya hawa mnao waza kuwaumiza? Au mnadhani mpo hapo kwa ajili yenu wenyewe? Mjifunze kuwajibika kwa wanachi na kwa nchi na sio kuwajibika kwa manufaa ya watu.
I don't know him.Mduruma mwenzio!
Nikombolewe na nani? Na huyo Chiba mke wa Amsterdam? Ushoga endeleeni nao peke yenu CHADEMATulia wewe ukombolewe KURA iwe na THAMANI.