Wananchi wapi hao? Hao nyumbu wa CDM?Kwanini mnaamini njia pekee ya kujibu na kutatua hoja na matakwa ya wananchi walio wapa dhamana ni kuwakupiga na kuwaumiza? Inamana mmesha sahau kwamba mpo hapo kwa niaba ya hawa mnao waza kuwaumiza? Au mnadhani mpo hapo kwa ajili yenu wenyewe? Mjifunze kuwajibika kwa wanachi na kwa nchi na sio kuwajibika kwa manufaa ya watu.