Kutegemea virungu bila kukibu hoja na ni aina ya ulemavu, hata hao mnawategemea kwenye virungu watawachoka maana nao wama dhiki hadi kwenye makalioYupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!