nadhani kwa wakati muafa hilo litabainishwa kwa mujibu wa sheria gentleman.Unrealistic assumption,kifutwe kwa kosa gani sasa?
CCM itawalamba.. ndivyo fisi (CCM) anavyosubiria simba (CDM) ateme nyama...Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?
Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Wee jamaa unajijua jinsi ulivyo na uchizi kichwani?Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?
Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Wee jamaa unajijua jinsi ulivyo na uchizi kichwani?
Sasa nikwambie Chadema ikifutwa kwa mujibu wa uchizi wako tutakuwa kikundi cha waasi na patachimbika kweli kweli!
mpango wenu huko ccm ni kutaka kuifuta cdm kwa matumaini kwamba wanachama wa cdm watakuja kwenu... kinyume chake, chuki zitazidi zaidi dhidi ya ccm na serikali yake... Tlaatlaah, nyuzi zako nyingi humu ndani ni za kufuta cdm, Lissu afungwe na kwa kweli umewakalia sana hao cdm... waache wapumue basi... umewakalia sana kooni na nyuzi zako za hapa na pale... hamia jukwaa la mapenzi kwa muda halafu ndio urudi huku...kwa faida ya wadau wa JF,
unaweza kufafanua kwa kina kirefu kidogo gentleman kama hutojali?
Hawataenda popote litageuka kundi maarufu la kigaidi nadhani ndo itakuwa mwanzo wa watanzania wote kuishi maisha ya hofu sanaukiachalia mbali makasiriko na mihemko useless uliyonayo,
una maoni gani dhidi ya hoja mahususi mezani gentleman?
Chadema inaweza kufutwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, na si vinginevyo gentleman.mpango wenu huko ccm ni kutaka kuifuta cdm kwa matumaini kwamba wanachama wa cdm watakuja kwenu... kinyume chake, chuki zitazidi zaidi dhidi ya ccm na serikali yake... Tlaatlaah, nyuzi zako nyingi humu ndani ni za kufuta cdm, Lissu afungwe na kwa kweli umewakalia sana hao cdm... waache wapumue basi... umewakalia sana kooni na nyuzi zako za hapa na pale... hamia jukwaa la mapenzi kwa muda halafu ndio urudi huku...
nadhani ni vizuri kufahamu hili gentleman,Hawataenda popote litageuka kundi maarufu la kigaidi nadhani ndo itakuwa mwanzo wa watanzania wote kuishi maisha ya hofu sana
Huyu jamaa yuko kazini hapo Lumumba, amekabidhiwa Chadema ahangaike nayo.mpango wenu huko ccm ni kutaka kuifuta cdm kwa matumaini kwamba wanachama wa cdm watakuja kwenu... kinyume chake, chuki zitazidi zaidi dhidi ya ccm na serikali yake... Tlaatlaah, nyuzi zako nyingi humu ndani ni za kufuta cdm, Lissu afungwe na kwa kweli umewakalia sana hao cdm... waache wapumue basi... umewakalia sana kooni na nyuzi zako za hapa na pale... hamia jukwaa la mapenzi kwa muda halafu ndio urudi huku...
Basi mwenyewe umeona umeyapatia maisha!!!!!!!!! Kumbe unatumika kama Condom!!!!!! Wanaokula ni wengine!!!!!!!!!!!!!!!utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?
Gentleman,Huyu jamaa yuko kazini hapo Lumumba, amekabidhiwa Chadema ahangaike nayo.
Hii shughuli itamtoa roho.
okey sawa,Basi mwenyewe umeona umeyapatia maisha!!!!!!!!! Kumbe unatumika kama Condom!!!!!! Wanaokula ni wengine!!!!!!!!!!!!!!!
Tatizo mgongo umeharibiwa. Jibu nimeshakupa ila bado unawashwa. Mama yako ajaribu aone!Gentleman,
ikiwa wewe sio mwendawazimu ni muerevu,
makasiriko na mihemko useless na kujipiga kifua kusiko na maana yoyote jukwaa, kunachochewa na nini hasa kwamfano, badala ya kutoa maoni na mtazamo wako huru dhidi ya hoja mahususi mezani?
why are you exposing the level of your empty head like that?
utamchimba nani wewe kwa mfano,
na ulivyo na mihemko useless hivyo?
waeleze wadu wa JF,
ikiwa chadema itafutwa,
wanachademna wapweke wanajiunga chama kipi zaidi cha siasa nchini?
Tafuta hela ili usitumike na tabaka tawala!!!!!! Kwa kifupi usiwe kama Condom.ni yapi sasa maoni yako dhidi ya hoja mahususi mezani
kwa faida ya wadau wa JF,Tatizo mgongo umeharibiwa. Jibu nimeshakupa ila bado unawashwa. Mama yako ajaribu aone!