Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

Sijaelewa hayo mavingereza uliyondika
Ila ukweli upo hivyo hunaga hoja za maana hii ni unataka au hutaki
 
ni ajabu sana aise 🤣
 
sio unyonge ndio ukweli wewe huoni wanapitia magumu kwa miaka mingi lakini ndo kwanza wanasapotiwa na wananchi kwa wingi.
wananchi gani hao wengi walioshindwa hata kutoa buku tu kupata miioni 300?
 
mtu mjinga tu ndo anayeweza kusema chadema imekufa.kama imekufa mbona mnaitesa?
 
Kufutwa kwa chadema ni kufeli Kwa CCM chama chetu!
Mwanaccm makini kabisa hawezi kubali vyama kufa,Huwa nashangaa sana mwenyekiti wa ccm eti anahakikisha vyama vya upinzani vinakosa viti bungeni!sasa utatawalaje na kuongoza taifa kama hakuna upinzani wa hoja!!?
Kikwete aliitumia chadema ipasavyo kumng'oa waziri mkuu ili kuokoa chama na serikali kwenye kashfa!!

Leo makam amejiuzulu TU haonekani hata kanisani coz upinzani uliotumika ni batili sana kumng'oa!!

Leo Kuna tetsi za PM kung'olewa na yeye sasa watatumia njia Gani kama sio sarakasi kama zile za Makam!!?

Lakini upinzani ungekuepo bungeni uliokomaa tusingefikia huku!!

Mungu ibariki jmt
 
Sijaelewa hayo mavingereza uliyondika
Ila ukweli upo hivyo hunaga hoja za maana hii ni unataka au hutaki
Ndugu mdau,
huna haja ya kubabaika au kuweweseka na hoja usizoziona au zilizokulemea thinking capacity,

be free,
katafute tu ukweli na hoja za maana kwenye majukwaa au articles za wadau wengine wa Jf na itapendeza zaidi 🐒
 
Naenda kutafuta nyuzi zenye hoja
Baada ya kusema ukweli kwenye mambo ya msingi kama haya
Sorry for telling you that
 
mtu mjinga tu ndo anayeweza kusema chadema imekufa.kama imekufa mbona mnaitesa?
Kilitakiwa kuwa chama cha siasa sio chama cha kuchochea fujo na vurugu
hayo ni masharti ya usajili
Sasa kuzuia uchaguzi kama hutaki kushiriki na kukinukisha mpaka muumie maana yake huo ni uchochezi unakinzana na masharti ya kusajiliwa kama chama cha siasa
 
Na nyie mnaemjibu huyu nyumbu na nyie ni kama mabata vile MATAKO yenu
 
Kwenye nchi inayoongozwa na katiba, hakuna mzaha, aibu, haya wala huruma kuzfuata taasisi au vyama vya siasa vinavyokiuka sheria na taratibu za kisheria za usajili wake.

Na chama kisichoungwa mkono na wananchi na kikakosa muwakilishi kwenye vyombo vya maamuzi kama vile bungee, havina budi kwenda kujipanga upya bila kuweweseka na visingizio useless visivyo na kichwa wala maskio.

wapiga kura wamekikataa chama chako na mgombea wako, unamnung'unikia nani sasa, kujipange upya. Wape nafasi na fursa ya kuutumikia umma, wale waliochaguliwa na wananchi 🐒
 
Naenda kutafuta nyuzi zenye hoja
Baada ya kusema ukweli kwenye mambo ya msingi kama haya
Sorry for telling you that
huo ndio uamuzi wa kiungwana na kwakweli wa kizalendo zaidi hasa kwa ambae hafanyi siasa kwenye siasa

na uende kwa amani sana aise na siku zingine huna haja ya kuaga, unaenda kimya kimya tu na itapendeza zaidi
 
Unajiona bonge la Political discussion🤣
 
Unajiona bonge la Political discussion🤣
hapana ndugu mdau,
mie siwezi kujiona bonge la politician kwenye political discussion, kwasababu politics inafanyika hadharani na sio chumbani.

so,
mwanasiasa brilliant ataonekana tu kwenye political scene tofauti kabisa na vibwengo waliovyamia siasa
 
Unachekesha kama sio ndugu yangu😆
 
Stupid haĺucinations!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…