Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba.

Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni na MUNGU aliyewaleta Duniani mwisho huwa mnaishia kuliwa kimasihara 🤣


AMANI ! AMANI! AMANI! YA NCHI TUITUNZE KWA DHATI KUBWA! -CHADEMA MMESIKIA?
 
Nadhani swali la msingi ni kwanini wanawake au mabinti wanaona ni muhimu kupata ujauzito nje ya Ndoa?

Mfumo usioutumikia kwanini unataka faida zake? Ndoa ni mfumo wenye matakwa yake. Kwanini sasa wakishajibebesha mimba na kuzaa wanarudi makanisani kuitafuta ndoa ,ya kazi gani sasa? Si waendelee kwenda lodge, club,kudanga,na kuishi maisha ya kudanga,si ndicho walichochagua au?

Viongozi wa makanisa wapo sahihi sana. Na pia nawasihi masheikh pia kukazia kutofungisha ndoa wanawake wanaoendekeza uzinzi maana wanawapa kichaka cha kuficha uovu wao.

Mabinti wanazaa kwa makusudi sio bahati mbaya natamani muwaone wakiwa wanapanga mipango yao ndio mtaelewa kuwa sio bahati mbaya.

Usingle mother sio kitu cha bahati mbaya ni makusudi kabisa.
 
....Tumesikia Lakini Hatuelewi..maana Wachungaji hao hao huwa wanawafanyia maombi ya kupata Mtoto/Watoto..!!!??? Basi wafafanue kama hiyo Mimba itaingia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu....Baada ya kuombewa si una test Mitambo kujua kama maombi ya metiki?!!Noma kutengana tena...tabia mbaya za CCM hizo.

CCM oyeeeee....
CCM hoyee
 
Wanawaombea wanandoa tu.
Chadema ndo imechochea haya
 
Thanks mtumishi
 
Wachungaji wapo sahihi! Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama si mama peke yake
 
Siyo kweli bwana kwamba kuzaa ni zao la kudanga..Lile ni hitaji la kiasili na maumbile.
Watu wanazaana toka enzi na enzi kabla hata ya Lodge,Guest au Madanguro kuwepo.
Watangojea mpaka lini sasa wakati nyie wanaume mnakwepa kuoa?
 
wengi wanakula kondooo mkuu na mbaya itokee ulimkatalia past akajua
Umempa mwanakwaya poyopoyooo
ikajaa tumbooooooo
We n mhaini mkuu hutoboii....

Kuna kanisa moshi miaka you jana nilokuwa napita na karosemerykangu kamoja

Past akapita sehemu akatukutaaa
akamwambia binti mmoja anamhitaji rose wangu ofisin

nkamwambia nenda..akamwambia mbona m ko karibu na pdidy mnajua amjaoana

Kuna mambo nimeomyeshwa naomba ukiwa free nipigie akamwalika hotelier restaurant


Nikamwambia nenda msikilize jamaa akataka kuwekeza akiwa mazungumzoYamepamba moto mwamba nikaingia nikaagiza wine mezaa ya kona

Gafla akaaga binti akaja koma tykamalizia ka dompo ketu

Nilitaman kumsikia akimfukuza ila alitumia wanakwaya kumwonya binti awaelewi......

Kakaolewa gafla kakazaa kakaachika nkasema.maombi ya Past nn mmh wanamambo wale achatu
 
ZAMANI UKILEWA AMA MWANAMKE AINGIE NA MIMBA KKKT WANAKUTOA BALU

LEO HII MWANAMKE ANAINGIA KANISAN SHELA HAKUNA MWILI NUSU UCHI.MCH BADALA YA KUMTOA AKABADILISHE AMA AJISITIRI ANAISHIA KIUKWELI SIJAPENDEZ WA A NA MAVAZI YAKE BASI TU

BASI GAN MUHAMALA UMESOMAA

HIVI KARIBUN NAHISI MLISIKIA ALIFUNGA NDOA MSANII MMOJA MASHUHURI KKKT MBEZI

KAJA NA NGUO ZIWA HILOO AIBU KUBWA KAMA SIO PARISHIWEKA ILIKUWA AIBU

KAINGIA HANA WASIWASI KABISA KAMA YUKO KIDIMBWI.....PAST KAPITA KAMWANGALIA KAINGIA NDANI

PARISHWEKA AKAMWONA FYUU ANASHUKA AKAMWAMBIA KULE HUINGII
KATAFUTE NGUO YA KUKUSITIRI HAPO TUMBO
limejaa shyaaa aisee alirudi kwenye gari wakaenda kukata sijui kitambaa cha Paziaa wakamvalisha Kwa juu akaingia ndan

Hu k o.recpt.picha zake keshoyake uangalii.marambili unawaza na mamamkwe babamkwe nao walikuwepo??loh...

Waliporuhusu kufungisha ndoa na mimba ile.ilikuwa byebye ....hawatakiwi kabisa kumkataa muumini kisa Kazaa nje alitaka Amalie ndani??
 
Yesu alipokuja alichangamana na watu waliotuhumiwa kuwa na dhambi, mpaka alipoulizwa akawajibu kwa mifano.
Kuna tabia siyo walokole bali makanisa mengi kuwatenga wale wanaoonekana wamefanya dhambi.
Haohao ndio utakuta wanatoa mahubiri na mifano ya mafundisho ya Yesu ikiwemo mfano wa mwanamke kahaba na jinsi Yesu alivyohukumu hiyo kesi.
Kwa kifupi hawafanyi lililo jema kwa Mungu bali ni matakwa yao binafsi.
 
Pasta wangu alimtenga binti mmoja baada ya kupata mimba kwa kumuambia asiimbe kwaya, atoke aende nyumbani akae huko mpaka atakapojifungua ndio arudi. Siku hizi baadhi ya mapastari wameacha kutenga mabinti wanaopata mimiba kabla ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…