Nadhani swali la msingi ni kwanini wanawake au mabinti wanaona ni muhimu kupata ujauzito nje ya Ndoa?
Mfumo usioutumikia kwanini unataka faida zake? Ndoa ni mfumo wenye matakwa yake. Kwanini sasa wakishajibebesha mimba na kuzaa wanarudi makanisani kuitafuta ndoa ,ya kazi gani sasa? Si waendelee kwenda lodge, club,kudanga,na kuishi maisha ya kudanga,si ndicho walichochagua au?
Viongozi wa makanisa wapo sahihi sana. Na pia nawasihi masheikh pia kukazia kutofungisha ndoa wanawake wanaoendekeza uzinzi maana wanawapa kichaka cha kuficha uovu wao.
Mabinti wanazaa kwa makusudi sio bahati mbaya natamani muwaone wakiwa wanapanga mipango yao ndio mtaelewa kuwa sio bahati mbaya.
Usingle mother sio kitu cha bahati mbaya ni makusudi kabisa.