Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

Mabinti wenyewe wa siku hizi ni kitonga sana, hawakatai, tamaa mbele. Mabinti wa zamani wakitokewa walikuwa wanakemea wakware kwa jina la Yesu mpaka wakware wanalegea. Binti akiambiwa 'mambo' anajibu 'kwa Yesu', wa sasa hivi wanajibu poa!
 
Wachunguji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba.

Na nyny wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni na MUNGU aliyewaleta Duniani mwisho huwa mnaishia kuliwa kimasihara 🤣


AMANI ! AMANI! AMANI! YA NCHI TUITUNZE KWA DHATI KUBWA! -CHADEMA MMESIKIA?
CCM ni laana kwa taifa
 
Pasta wangu alimtenga binti mmoja baada ya kupata mimba kwa kumuambia asiimbe kwaya, atoke aende nyumbani akae huko mpaka atakapojifungua ndio arudi. Siku hizi baadhi ya mapastari wameacha kutenga mabinti wanaopata mimiba kabla ya ndoa.
Nafurahi kusikia wameacha kuwatenga
 
....Tumesikia Lakini Hatuelewi..maana Wachungaji hao hao huwa wanawafanyia maombi ya kupata Mtoto/Watoto..!!!??? Basi wafafanue kama hiyo Mimba itaingia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu....Baada ya kuombewa si una test Mitambo kujua kama maombi ya metiki?!!Noma kutengana tena...tabia mbaya za CCM hizo.

CCM oyeeeee....
CCM hoyee
Ujakatazwa kubeba mimba ila iwe ndani ya ndoa
 
Mkuu umeamkaje? Unajua kuwa bila CCM usingekuwa unapost humu?
Screenshot_20260703_170549_Facebook.jpg
 
Kazana kuandika maombi 12 Mimi mwenyewe sijaoa Bado unaweza ukaanza na Mimi kwanza labda utaishia hapahapa kwangu hatimaye ikawa ndoa
Sawa ila kutest Mitambo ya uzazi after maombi ni muhimu na kazi itaendelea.Waoaji mkizingua naweka ombi la Mungu anipatie mtaji naendelea kulea wanangu.Uzuri Mungu hana choyo,wema na waovu kwake ni sawa tu.
 
Kwanini ubebe mimba kabla ya ndoa? Kinachokereketa ni nini mpaka unabeba mimba katika mazingira ambayo unaona utateseka? Mabinti wa zamani walikuwa wakali sana ikifikia hatua hiyo, siku hizi mimba wanazitaka sio bahati mbaya tena
 
Back
Top Bottom