Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Huyo amejitenga mwenyewe,siyo Kanisa limemtenga.Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba.
Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni na MUNGU aliyewaleta Duniani mwisho huwa mnaishia kuliwa kimasihara 🤣
AMANI ! AMANI! AMANI! YA NCHI TUITUNZE KWA DHATI KUBWA! -CHADEMA MMESIKIA?
Yaani mtu atoe mimba Kwa maamuzi yake mwenyewe halafu usingizie Kanisa?
Siyo sawa.
Mtu anazini,anataka Tena aongeze na dhamhi ya kuuwa.