Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

Mabinti wenyewe wa siku hizi ni kitonga sana, hawakatai, tamaa mbele. Mabinti wa zamani wakitokewa walikuwa wanakemea wakware kwa jina la Yesu mpaka wakware wanalegea. Binti akiambiwa 'mambo' anajibu 'kwa Yesu', wa sasa hivi wanajibu poa!
 
CCM ni laana kwa taifa
 
Pasta wangu alimtenga binti mmoja baada ya kupata mimba kwa kumuambia asiimbe kwaya, atoke aende nyumbani akae huko mpaka atakapojifungua ndio arudi. Siku hizi baadhi ya mapastari wameacha kutenga mabinti wanaopata mimiba kabla ya ndoa.
Nafurahi kusikia wameacha kuwatenga
 
Malaya anatoa mimba kisa kanisa kama sio usenge wake ni nini?

Kanisa la kilokole ni la kijinga lakini hapo halihusiki
 
Ujakatazwa kubeba mimba ila iwe ndani ya ndoa
 
Kazana kuandika maombi 12 Mimi mwenyewe sijaoa Bado unaweza ukaanza na Mimi kwanza labda utaishia hapahapa kwangu hatimaye ikawa ndoa
Sawa ila kutest Mitambo ya uzazi after maombi ni muhimu na kazi itaendelea.Waoaji mkizingua naweka ombi la Mungu anipatie mtaji naendelea kulea wanangu.Uzuri Mungu hana choyo,wema na waovu kwake ni sawa tu.
 
Kwanini ubebe mimba kabla ya ndoa? Kinachokereketa ni nini mpaka unabeba mimba katika mazingira ambayo unaona utateseka? Mabinti wa zamani walikuwa wakali sana ikifikia hatua hiyo, siku hizi mimba wanazitaka sio bahati mbaya tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…