Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

Nakubaliana na wewe kwa wakati fulani inaweza kuwa msaada ingawa mara chache sana
 
Me naona we ndio umezingua kwenye simu ya mwanaume mwenzako ulikuwa unatafuta nn?

Halafu una sound a gay unasema sura ya mwanaume ina mikunjo ulitaka iwe mtelezo kama j. Melody au sio.
 
Me naona we ndio umezingua kwenye simu ya mwanaume mwenzako ulikuwa unatafuta nn?

Halafu una sound a gay unasema sura ya mwanaume ina mikunjo ulitaka iwe mtelezo kama j. Melody au sio.
Huenda hupandi dala dala expert wangu,hutokea by chance na sio umedhamiria
 
Brother mm mwenyew naona kuna shida hapo, why? Because we are old fashioned men, with old fashioned masculinity.

Mwanaume hukatazwi kujipenda, but not too much, kuna kiwango cha kujipenda kikizidi unavuka upande na kuingia kweny ulimwengu/mienendo ya jinsia nyingine.

Okay now mwanaume kuweka picha yako screensaver haina maana mbaya, but from my POV ina indicate maybe you have too much self-love/self-adoration which concerning to me.
 
Umeongea vizur sana,kujipenda it's okay and all that

Lkn wanaume inafaa kuwaweka wapendwa wao
 
Up date Morocco hapa yani tumetembea toka mikocheni magar yote wamekodi ccm

hapa mataa hapiti mtu ni misafara na helkopta juu

 

Wanaume tumekubaliana tujipende wenyewe mpaka tukose upendo wa kuwapa wanawake zaidi ya mimba
 
2010 mpaka 2012 ilikua freshi tu ila mpaka sasa kuna wasukuma wanaweka nyimbo kama miito ya simu ringtone
 
Ni sawa lkn mambo mengine sio hulka za kiume kwa mtazamo wangu
Ni kweli, hii sasa inatokana na namna unavyotafsiri mambo yanayodefine uanaume wako... Yaani unataka uwe mwanaume wa aina gani na misingi gani umeamua kujiwekea katika ufanyaji wako wa mambo.

Kuna mambo mengi binafsi wanaume tunatofautiana lakini kuna sehemu chache ambazo wote tunakutana kama wanaume, vivyo hivyo hata kwa wanawake.
 
👊👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…