Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #101
Pole sana expert wangu,ila sio poa kujisevu home boyUlichangia hata 100 kununua simu msenge wewe,simu yangu sura yangu wewe unataka nini nilikuwa nakuona unavyonishangaa
Angemcheck masikioni labda alikuwa na heleni.😂😂😂Yatakuwepo mengine kajisahau
Ila sio kama hizo zakoNaona wewe ndio unamashaka na nafsi yako,jf ni kijiweni tunapiga mastory tukijisikia,je kuna shida?
😁😁😁😁Kwa hiyo,una maana mtu akiwa anajishuku sana,anaweza kuulizwa jinsi yake akababaika kuitaja?
Wengine wazee tangu mnazaliwa wala msisingizie kuzeeka 😂😂😂Nitakuwa nazeeka Vibaya aisee
Umenichekesha sana aisee.😂😂hakuna ulazima wa mwanaume kuwa na app ya 📷 maana mwanaume anatakiwa apigwe risasi sio picha 🚮
Wewe unashangaa hiyo? Kuna midume mizima over 40 inaadhimisha birthday ambayo Huwa ni shughuli ya wanawake na watotoView attachment 3456399
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati
Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?
Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?
Au ndio kila mtu aishi maisha yake...
Ni hayo tu!
Ni vitabia vya kike,ni sawa na kujiangalia kwenye kioo kila wakati,View attachment 3456399
Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati
Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi?
Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote halafu kasave picha yake pale nikamwona ajicheki time to time,daah kama anazingua hivi au mimi ndio nazingua nini?
Au ndio kila mtu aishi maisha yake...
Ni hayo tu!
Nimeipenda hiiNi vitabia vya kike,ni sawa na kujiangalia kwenye kioo kila wakati,
Picha ya dume inakaa kwenye profile ya WhatsApp, telegram, LinkedIn, nk, Ila wengine huko kote tumeweka logo za kampuni
Hilo nalo neno expert wanguWewe unashangaa hiyo? Kuna midume mizima over 40 inaadhimisha birthday ambayo Huwa ni shughuli ya wanawake na watoto
Hakuna bwasheee hapaHaina shida kabisa bwashee.