Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

Sio tu kupaka Sasa hata kununua mafuta ya kupaka haturuhusiwi ground panazidi kuwa pagumu sana
 
Kuna msanii alikufa Tabata Kimanga mwaka 2014 alikuwa na picha 1 tu na yenyewe waliikuta kwenye Whatsapp ya rafiki.
Kuna mwingine alikufa Kinondoni, yeye ilipatikana picha 1 aliyopigwa na rafiki yake katika kufurahi. Ubaya wa Ile picha alikuwa ameshika kisungura kimelenga mdomoni anafurahia maisha. Ashukuru vijana wa stationery waliedit kuondoa kisungura wakaweka chupa ya soda.
 
Eti kisa kuonekana lijari, wanaume wa Bongo watakufa mwili umepooza km kiporo kilicho cha-cha.
Lol 😂😂😂😂😂
 
Uzi ufungwee!! Na kila siku huwa nasema ukiona mwanaume au mvulana anatumia nguvu nyingi kuonesha au kudhihirisha uanaume wake.
Huyo ni wa kumuogopa kabisaa.
 
Eti kisa kuonekana lijari, wanaume wa Bongo watakufa mwili umepooza km kiporo kilicho cha-cha.
Lol 😂😂😂😂😂
Masharti tunayopeana ni magumu hata wake zetu hawajawahi kuyawaza.Jambo baya ni mwanaume kuwa muongomuongo,kujiremba kupitiliza na "kubitiwa the trees"!Hayo mengine kutafuta shida tu.
 
Aweke yakwako,?
 
Masharti tunayopeana ni magumu hata wake zetu hawajawahi kuyawaza.Jambo baya ni mwanaume kuwa muongomuongo,kujiremba kupitiliza na "kubitiwa the trees"!Hayo mengine kutafuta shida tu.
Ndo maana sahivi wanaume wengi wako insecurity kisa hizo pigo za kiwakiii.
Lol.
 
Dp, nakaa mimi hatokaa mwingine zaidi yangu,

Kuna vitu vingn upuuzi mtupu.....

Eniwei naulizia napata wapi dressing table,, ??
 
Basi mwanaume anatakiwa afe tu Kwa vigezo hivyo 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…