Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

We umeoa Urusi at Tanganyika?
Maana usitupigie kelele wakati mkeo umemtoa mwananyamala
 
Hahahahaha haukeshi kweli hahahaa
 
Sasa hivi mapenzi ni biashara watu wana-date strategically, hii mbinu wanawake wamekua wakiitumia kwa muda mrefu naona miaka ya karibuni na wanaume wameifungua hii code., kuanzia Shakib mume wa zari, mpaka mabwana wote wa shilole. Bila shaka lengo la jux kwa huyu binti ni kupenya kwenye media za Nigeria.
 
Ngoja kwanza tutafute pesa ,ndio tuanze kulalamika mkuu🤔
 
Kwa mara ya kwanza mtu ame comment sense kwa uzi wangu
 
Kigezo ni nini?
Uzuri humvuta mtu siku ya kwanza, ndilo jambo la kwanza mwanaume kushuhudia kabla ya yote, ndipo zinafuata sifa zingine tabia, usafi, akili n.k..

Kwenye hizo sifa itategemea na hao wawili wanahitaji kipi kutoka kwa mwenzake, cause mwanamke ana mahitaji yake na mwanaume pia.

First date lazima muulizane 'unapenda nini' 'hupendi nini' 'una mtoto' 'dini' 'una miaka mingapi' n.k n.k.. kupitia maongezi mnaweza kusomana..

Mahusiano ya ajabu sana, kuna tuvitu tudogo sana unakuta vinamkera mtu, mfano kuongea kwa sauti unakuta mtu anakereka ila hasemi, ukimya uliopotiliza, kuongea sana, mwingine anapenda muda wote kuzagamua/kuzagamuliwa , dharau n.k n.k

Ndio maana nikasema unakuta mtu ana mahusiano na mwanamke wa uzuri wa kawaida lakini ameridhika na tabia zake na mienendo ambapo amekosa kwa pisi kali.

Love is crazy..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…