Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Unajitoa akili siyo!? Hao maadui zake ndo waje mchana kweupe na bunduki wakiwa na magari ya umma!?Shida ya Niffer ana maadui wengi
weka hio habari hapa tuamini....Hatimae Jamaa (Polisi) wamekiri wao ndiyo wahusika na wanamshikilia mpaka mda huu.
Na kama wamekiri basi ni jambo jema na la kheri.
Inawezekana kabisa, au timing ya hiyo video yake alidhani itamsogeza karibu na ufalme wa wana mtandao, maana hiyo kauli bi chura aliitoa kama kejeli, asijue kuwa kumuigiliza napo ni km kumdhihaki bi chura, anapenda sifa sana na kakiherehere anako sasa zimemtokea puaniNdo maana hii haiingii akilini, kuna aidha kamchezo au biashara za dar madon wameenda na upepo kumkomoa dogo
weka hio habari hapa tuamini....
Ebu tuone hio sehemu walipomuachia
Wanasema wamemuachia watekaji audio yao tunayoDuh
Kwa nafasi kama ndio kama alijiingiza kwenye ushabiki wa siasa basi hata biashara yake wataipukutisha
Amejivurugia sana kuingia kwenye mambo haya
Mambo ya kuuza mask na glovu ameiingiza kwenye mtandao wake kwa kweli kafanya ujinga sana masikini yake
sio kwel, wingi ndo ushindi siku tukijitambua bas wataanza kutuheshimKugombana na mtu mwenye silaha muhimu na wewe uwe na silaha
Yaani imekua rahisi sana kuua na kupoteza watu siku hiziHiyo inatosha kabisa kumteka na kumpoteza?
Vyama huwekwa mbele ila chini kunakuwa na kitu common cha kuwazima akili. Iwe ni fursa au di ni, kabila etcKuna wakati sio hela ni ule ushabiki wa kivyama Kama ilivyo Simba na Yanga ndio unafinya uwezo wa akili wa watu kwenye kutoa maoni
Huu sio wakati wa kutumia vifungu vya sheria. Huu ni wakati wa kuviziana. Mwenye nguvu anakupoteza akiamua yeye wala hafanywi chochote. Ikigusa watu wengi, hapo ndipo utakapopatikana ukombozi wa kweliNitajie kifungu cha sheria alichovunja huyu binti?
Hivi wewe unaona alichofanywa yule Agata na Mwangi ilikiwa ni sawa? hayo mambo lazima tuyaongeeAcha ungese
AmeshaachiwaHivi wewe unaona alichofanywa yule Agata na Mwangi ilikiwa ni sawa? hayo mambo lazima tuyaongee