AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
KashaachiwaSiku chache tu nyuma niliandika hawa jamaa kama wamepagawa vile, yaani kwao kila mtu adui kwa sasa.
Niffer ukienda kwenye page yake yeye ni biashara zake tu muda mwingi interest yake na siasa ni ndogo sana.
Kama kweli wanae labda sababu iwe ni utapeli mwingine, lakini kumuumiza yule dada kwa sababu ya siasa kila mtu atashangaa.
Hakuna common sense tena huko serikali hasa kwenye vyombo vya ulinzi.
Hii ni mbaya sana.
Mtoto WA simba kala swala alafu swala WENGINE wanaenda Kwa kundi la simba kushitaki wakiomba msaadaFaiza Ally(Mama Watoto Wa Sugu) anaandika kupitia Instagram yake
"Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasio julikana … Jamani hatari imezidi hii habari imetoka Germany kwa mtu ambae alimuagiza boda dukani kwa niffer kupeleka mzigo yaani ni habari ya ukweli boda kaiona live …. Watu wa karibu na niffer Jeshi la police msaada Jamani ……. Mimi naogopa sana Jamani …. Mpaka sasa sijajua amepelekwa police au wapi maana hao watu walikua na bastola yaani amepigwa mpaka anavuja damu …. Yarab muokoe binti watu 🤲🏽😭😭 @polisi.tanzania @gwajimad @ikulu_mawasiliano tunaomba msaada"
Ukiacha na kucheza ule wimbo ambapo sioni ni kosa Hakuna sehemu ameonesha yupo against na serikali ni wamemuonea bure huyu bidadaDuh
Kwa nafasi kama ndio kama alijiingiza kwenye ushabiki wa siasa basi hata biashara yake wataipukutisha
Amejivurugia sana kuingia kwenye mambo haya
Mambo ya kuuza mask na glovu ameiingiza kwenye mtandao wake kwa kweli kafanya ujinga sana masikini yake
Mimi nimezungumzia kwa mashabiki sio Viongozi kwa mashabiki asimilia kubwa huwa wanaendeshwa na ushabiki hivi unataka kuniambia yule Lucas sijui nani anafanya vile kwasababu ya hela? Au ni vile tu anamapenzi na chamaVyama huwekwa mbele ila chini kunakuwa na kitu common cha kuwazima akili. Iwe ni fursa au di ni, kabila etc
Na hii sio kwa CCM ni poteee ndio maana hata wale walioaminika kuwa ni miamba ya upinzani. Ikibanwa vizuri au ikiwekewa dau, inakula matapishi yao wenyewe
Unataka watu wote wacheze Singeli kwani hii ni Korea Kaskazini??Alikuwa na sababu gani ya kucheza alichokuwa anacheza?
Kwani kuwa against na serikali ni kosa?Ukiacha na kucheza ule wimbo ambapo sioni ni kosa Hakuna sehemu ameonesha yupo against na serikali ni wamemuonea bure huyu bidada
Tanzania ukiwa na maadui wengi unaweza kuchukuliwa hivyo?Shida ya Niffer ana maadui wengi
Misinformation!! Yaani baada ya kupost dakika mbili tu kakamatwa? Hizi Misinformation ndio zina justify ujinga kwamba alipost gloves na mask? Mbona alipost tu anacheza ile nyimbo!!
Hata Mimi nimeshangaa alafu ukisoma kwenye barua yao sababu za kumkamata ni kuwa anahamasisha vurugu na kuharibu miundombinu hizi sababu walizotoa ni kumtafutia makosa sioni amefanya hasa Hilo la miundombinu ndio imenishangaza sana miundombinu ipi hiyo kaagharibu?Siku chache tu nyuma niliandika hawa jamaa kama wamepagawa vile, yaani kwao kila mtu adui kwa sasa.
Niffer ukienda kwenye page yake yeye ni biashara zake tu muda mwingi interest yake na siasa ni ndogo sana.
Kama kweli wanae labda sababu iwe ni utapeli mwingine, lakini kumuumiza yule dada kwa sababu ya siasa kila mtu atashangaa.
Hakuna common sense tena huko serikali hasa kwenye vyombo vya ulinzi.
Kwa hapa bongo ni kosaKwani kuwa against na serikali ni kosa?
Wewe si unawateteaga kichwa kama flubber 😀😀😀Ah Kmmmae hawa wangese watatumaliza sasa 🙌
Nimeona humu wanasema alikuwa anarepost account za watu wanauza maski na glovu wanaofanya harakati za kuandamana, mara kuna moja alimuita chura...alikuwa anaposti na kutoa haraka haraka inaonekana hajui kulikuwa na watu wanamfatilia labda masaa 24....Ukiacha na kucheza ule wimbo ambapo sioni ni kosa Hakuna sehemu ameonesha yupo against na serikali ni wamemuonea bure huyu bidada
Onyesha comment yangu moja niliowahi kuwatetea.Wewe si unawateteaga kichwa kama flubber 😀😀😀
Sio MOJA ziko NYINGI, halafu muda sina we pitia MWENYEWE assume kama sio wewe utaziona NYINGI mnooOnyesha comment yangu moja niliowahi kuwatetea.
Tatizo lenu n kutaka kila mtu aamini mnachokiamini nyie, mtu akiongea ukweli mnamuona n adui wenu kisa ametofautiana na mnachokitakaSio MOJA ziko NYINGI, halafu muda sina we pitia MWENYEWE assume kama sio wewe utaziona NYINGI mnoo