Miili inatofautiana kwenye kuhimili mikikiNawewe unasema hayo? Labda mmekula mchana hata kama hotpot saa 9 usiku jamani, halafu kama yeye ndiye aliyewasha kwanini waanze kufariki wengine si yeye aliye washa jiko hapo,? Ni ajali tu!
Wanawake wengine usipokula msosi alioupika atanuna mwezi mzimaInawezekana hata sio mlevi,labda ni mnywaji tu,pia na hizi sikukuu labda alitoka kwenye sherehe alialikwa.
Wakati huohuo najiuliza hiyo sherehe haikuwa na chakula mpaka aje kupasha kiporo?.
Imeshatokea wamekufa na hawana uwezo wowote Wa kujitetea tunavyo wajudge hapa.tuwaache wapumzike salama.
Hao ni Wa kuhesabu, wamebaki wachache.Wanawake wengine usipokula msos alioupika atanuna mwezi mzima
Jiko huwa ni mali ya mwanamke ndani ya nyumba.Hiyo kumpokea saa 9 ni ametoka night shift au bar? Muwe na huruma na wake zenu aisee.
Jiko huwa ni Mali ya mwanamke ndani ya nyumba.
Hivi bahati mbaya unapika ukaungua utawaeleza nini wanaume wenzio.
Mwaka ujao 2021 kweli kazi ninayoNaomba upate Mmachame akunyooshe
Ushahuri maridhawa kabisa huu aa kufungia mwaka.Unataka kula chakula cha kuandaliwa na mkeo, rudi mapema kabla hajalala. Ukirudi saa 9 bila sababu ya msingi utajijua kwa kweli na hao wanaume wenzio unaowaogopa. Mwanaume mwenye familia, starehe hadi saa 9 usiku mweeeeeh
Haitakiwi iwe mazoea, mara moja moja sio mbayaMi mwenyewe huwa najipikia wife asipokuwepo.
Hawa wanawake Wa kibongo,ukiwapiga tough siku moja tu wanafanya mazoea.
Hizi ndoa zetu za kiswazi ni shida mkuu.Haitakiwi iwe mazoea, mara moja moja sio mbaya
Mwamba kala mtungi hadi saa tisa inaonekana alikua mtu wa mtungi sana kukesha baa kuna wenyewe afu ni mambo ya mabachela kulala baa...Unataka kula chakula cha kuandaliwa na mkeo, rudi mapema kabla hajalala. Ukirudi saa 9 bila sababu ya msingi utajijua kwa kweli na hao wanaume wenzio unaowaogopa. Mwanaume mwenye familia, starehe hadi saa 9 usiku mweeeeeh
Ndio muache kuoa kutoka uswaziHizi ndoa zetu za kiswazi ni shida mkuu.
Unafanyiwa timing tu,atajifanya anaumwa ukijikoki tu imekula kwako .
Huko kwenye vijiwe vyao salon huwa wanfundishana ujinga sana.
Haaaaa usijali tutagawana majukumuMwaka ujao 2021 kweli kazi ninayo
Ajiandae. Ni mhutu huyo bikraKuna mremboo humu anaitwa victorie jaribu kuchonga nae, anaweza kuwa wife to be
Kwanini usizime chief?Moto wa gesi hauzimwi kwa fire extinguisher ndugu