Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Hizi gesi pamoja na kupunguzwa ukauli bado zilinalipukaga kweli
HAPANA tena LPG zimekuwa km zile Gas za choo cha binadamu au ng'ombe, ikivuja au kutoka inappotea haraka haibaki hewani, hata ukiiwasha utaona moto wake
Tusiombee maana na mm natumia kila siku, labda kwa ushauri km wezi hakuna tuweke mitungi nje na ikiwa ndani tufungue madirisha hewa iwe inaingia na kutoka.
RIP wote waliotukiwa na janga hilo
 
Yeah!
Its very simple kama haijatokea ile total damage.
Kwa kuangalia fire pattern, point of origin, ignition point... na kutumia hii kitu inaitwa 'elimination method'.
Moto Mara nyingi uacha alama kadhaa ukutani, mfano: inverted V (A) hasa pale kwenye chanzo cha moto.
 
Siku zikifika zimefika, hakuna sababu ya kutafuta wa kumuangushia jumba bovu na kumpa lawama, asilaumiwe mume, asilaumiwe mke, isilaumiwe pombe wala kibiriti.
R.I.P marehemu wote, familia nzima kuteketea kwa moto inauma sana yani.
Too low!
Hakuna cha siku zikifika zimefika!
Hizi ni kauli za Waswahili wenye upeo mdogo wa kufikiri.
Niseme kidogo, takribani 88% ya majanga kama haya husababishwa na matendo yetu sisi binadamu (Unsafe Acts), pia 10% ya majanga husababishwa na mazingira yasiyo salama ( Unsafe Condition) na hii 2% iliyobaki hatuna ubavu nayo ( sisi ni wasafiri hapa duniani). In short, 98% ya majanga yote yanaweza kudhibitiwa kama binadamu atakuwa serious.
 

Watu wanapenda kuficha mambo sana na hupelekea watu kuzidi kuangamia ,jana Azam waliitoa hii taarifa Subtitle wameandika kwamba chanzo ni gesi ila mwandishi akasema chanzo ni hitilafu ya umeme!!
 
Sawa mzungu.
Mimi mswahili nimesimamia hapo kwenye izo 2% za utafiti wako.sitamani kabisa kumlaumu mtu kwa uzembe kama ulivyosema wewe.
 
Chanzo cha moto ni nini?
Mshumaa? Karabai,Chemli,Umeme,Kibatari,Mkaa,Kuni au solar au moto wa kichwawi.???.?
Alirudi kalewa,kawasha gesi akaacha inatoka na kuanza kutafuta kiberiti..kuja kuwasha moto umeshika nyumba nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…