Nawewe unasema hayo? Labda mmekula mchana hata kama hotpot saa 9 usiku jamani, halafu kama yeye ndiye aliyewasha kwanini waanze kufariki wengine si yeye aliye washa jiko hapo,? Ni ajali tu!Ndo tujifunze wanawake, baba akija apewe chakula, kiburi hakisaidii pia chakula Cha baba kiwekwe kwa hotpot
Na hapo ulilazimishwa sana kununua mahot pot ila ndio hivyo hayatumii.....Ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili.
Yaani hukakosea utasikia maviporo, wengine hata upike uweke mezani bila kumpakulia hali, yaani kila mtu ana tabia yake. Pole kwa familia jamani!Kuna wanaume wengine hawapendi chakula Cha kukaa kwenye hotpot best, mi nilishaona familia moja mwanaume hata arudi saa 10 asubuhi mke ataamka ampikie Kama ni wali au ugali Ila Hali chakula Cha kukaa muda mrefu.
So tusimlaumu huyu maana hatujui ya ndoani yalikuaje
Yaani vitu vingine uzembe wetu kila kitu mazoea, hata majiko ya mchina yaliua sana hapo nyumaUzembe huo Mungu hausiki hapo.
Akili ipi ndugu yangu?
Yaani hukakosea utasikia maviporo, wengine hata upike uweke mezani bila kumpakulia hali, yaani kila mtu ana tabia yake. Pole kwa familia jamani!
Kweli kabisa, sasa embu ona saa 9 jamani si unyanyasaji wa familia kabisa huo!Ukitoka kwenye mishemishe kama itazidi saa tatu haujarudi ni bora ule huko huko tu ili usisumbue wife kuanza kupasha viporo!!
Akili ya kuenda na mood zao....Akipanda unashuka ,akiongea unanyamaza!! Vizawadi vidogo vidogo siku ukipata mtonyo unamtoa hata KILO aka JIWE kama suprise!!
...Mkuu, nataka kuamini kwamba baba alimuona mkewe amezidiwa na Use gizi na kwa mapenzi akaamua asimsumbue kwa kumuamsha....na ikawa mapenzi ya Mwisho. !!!Inafikirisha sana mkuu, tena unaambiwa ni SAA tisa usiku, Baba alitaka kupasha kiporo, sasa sijui mke alimgomea.
PombeShida nini?
Mtu mlevi ni risky sana kuishi nae.Pombe
Wewe nani kakwambia hayo? Kama familia yote imeteketea kwa moto?Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Hata mimi nashangaa!Hizi gesi pamoja na kupunguzwa ukauli bado zilinalipukaga kweli
Halafu gesi masaa matatu haijaishia hewani tu?Wabongo bana duh.
Yani hawa wamekufa wote, chanzo hakijulikani ila mbongo anakwambia jamaa alitafuta kiberiti masaa matatu ndio akakipata akawasha gesi.
Utadhani nae alikuwepo kwenye tukio dah.
Hatakuja kuolewa! Jipange kuwa shangingi la mtaani na sisi wazee ndiye utakuwa chakula yetu! Mbona unajichanganya? Mara useme hutaki mwenye upungufu wa nguvu mara mwenye kutaka vitatu hutaki! Sasa unatakaje wewe?Namuombaga Mungu sana aniepushe na mlevi. Sitoweza mwanaume mlevi au mwenye upungufu wa nguvu au mwenye kutaka vitatu kila siku sitaki.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kwanza hiyo harufu ya gesi kwa muda Wa Masaa matatu wangeinusa.Halafu gesi masaa matatu haijaishia hewani tu?
Mkuu inahuzunisha kwa kweli....Mkuu, nataka kuamini kwamba baba alimuona mkewe amezidiwa na Use gizi na kwa mapenzi akaamua asimsumbue kwa kumuamsha....na ikawa mapenzi ya Mwisho. !!!