CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,914
- 3,476
Inawezekana hata sio mlevi,labda ni mnywaji tu,pia na hizi sikukuu labda alitoka kwenye sherehe alialikwa.Mtu mlevi ni risky sana kuishi nae.
Hicho ndo umeona cha kuongelea katika uzi mzito kama huu? "Ama kweli ubinadamu kazi"Mchizi mbona ana makengeza?? Nway RIP
Oh jamani [emoji24][emoji24]Umuofia Kwenu wana JF,
Bonne Annee and X-mas!!
Ndugu Sigfrid Sisti Kimbi na familia yake yote yateketea kwa moto uliotokana na gesi! Mke na watoto mapacha wawili ndio walianza kufa na mme amefariki akiwa njiani anakimbizwa hospital KCMC kwa matibabu.
=======
Ndugu zangu sisi familia ya Kimbi tumepata janga kubwa na msiba mzito ambao bila maombi hatuwezi kuukabili.
Ndugu yetu Sigifrid Sist Kimbi aliunguliwa na nyumba tarehe 25 kuamkia tarehe 26 na familia nzima wakiwa ndani wamelala. Bahati mbaya kabisa mkewe na watoto wetu wawili walifariki dunia siku hiyo hiyo kwa kuungua vibaya sana na moto huo.
Ndugu yetu alikimbizwa hospital na kuanza kupatiwa matibabu. Jana tuliendelea kuandaa mazishi ya mkewe na watoto ili tuwazike leo. Wakati tukijipanga jana jioni ndugu Sigifrid nae akafariki dunia. Kwa hiyo leo tunawahifadhi kaburini familia nzima ya Sigi Kimbi.
Kwa niaba ya familia tunawashukuru wote mnaoendelea kutushika mkono kwa chochote Mungu alichowajaalia katika kuhakikisha tunafanikisha mazishi haya. Tunaomba msichoke kutuombea maana jambo hili hi gumu mno ktk mioyo yetu. Peke yetu bila sala hatuwezi. Tunaendelea kuwashukuru sana.
Mazishi yatafanyika leo Uru Kisomboko karibu na Uru seminary. Mungu awalaze roho za marehemu pema peponi amina.
28/12/2020
View attachment 1660824
View attachment 1660825
View attachment 1660826
View attachment 1660828
Mimi na jiko la gesi tupo tofauti kabisa na sitaki kulizoea. Hata nikioa ni mwendo wa mkaa tu.
Babe mzuri naomba hizi siku tatu tuwe pamoja tumfukuze shetaniHuu mwaka mtu akipona sijui
Only 3 days remaining ila hiyo komba komba yake[emoji848][emoji848]
Saa zingine machuma yanasaidia ila wakati mwingine yanakuua
Huu mwaka mtu akipona sijui
Only 3 days remaining ila hiyo komba komba yake[emoji848][emoji848]
RIP familia.dugu Sigfrid Sisti Kimbi na familia yake yote yateketea kwa moto uliotokana na gesi!
Nimeamini duniani Kuna watu na viatu.Chanzo cha moto ni nini?
Mshumaa? Karabai,Chemli,Umeme,Kibatari,Mkaa,Kuni au solar au moto wa kichwawi.???.?
Hili liwe funzo kwa wake. Kama mke angalimpokea mume wake kutoka huko kwenye maulevi yake, akambembeleza na kumwandalia chakula, haya yote yasingetokea! RIP familia hiyo ya Rombo.Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Duh, mkuu Acha uchoyo basi,Mimi situmii jiko la gesi kabisa ,ni mwendo wa Mkaa kwakuwa nauza mwenyewe nina stock ya kutosha ,natumia jiko la mchina kwa ajili ya emergency tu labda kupasha chakula moto kilichobaki mchana au kama nataka nipike chai fasta sina muda wa kusubiri kuwasha mkaa.
Nilishakataa kabisa kuwa na JIKO la Gesi.......Kuna nyumba niliende kutembea yaani jamaa jiko kaliweka nje kabisa mbali na nyumba yake kubwa! Nyumba yake kubwa hakuna jiko la ndani kabisa.
Duh, mkuu Acha uchoyo basi,
Yan hutaki hata mamsapu wa kukupikia
Umri Baba,Hahahahaa muda mwingi nipo porini nachoma mkaa, town mara chache sana so nikiwa na mamsapu MAJITA watakuwa wananisaidia kazi...Ngoja nipambane nikishajiweka sawa nitatafuta kijana asimamie shughuli za porini mimi nikae town hapo ndipo nitatafuta MAMSAPU.