Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 2,153
- 3,140
Sio mchezo ndio ujue hapo kuna gap kati ya familia na Mtoto.Mbona kama wanafamilia ndo mnateseka kuliko mhusika mwnyw π
yupo sahihi. huenda wewe haupo sahihi.Sidhani kama upo sahihi...
ni haki ya wazazi kujua kama kijana wao kweli ali graduate au la. ni haki yao.Mtu anayehitimu Chuo Kikuu nimtu mzima, na hawajibiki kwa mtu yoyote ila yeye na maisha yake tu! Ndio maana matokeo hayatumwi kwa wazazi au walezi bali kwake.
Watanzania tuache kulea watu wazima! Hii ya mtu mzima na bado mnahitaji kujua kama amehitimu au la ndio inazaa watu tegemezi! Kama mlikopesha mdaini Fullstop!
Nina Ma mdogo wangu aliingia mkenge huo huo kwa mtoto wa mjini muhuni, mwamba aliingia na gia kamaliza Mlimani halafu HB basi kapagawa, akaja kumkatalia Dr aliyesoma Muhimbili. Basi akawa anawaambia amemaliza anatafuta sehemu atleast ya kujishikiza akisubiria mchongo wa kudumu. Mwamba akawa anaishi mpaka kwa babu huku ma mdogo akawa anamtoa kidogo akiwa na changamoto, akampa mimba ma mdogo, baadae akamwacha akaenda kuoa mwanamke mwengine mwenye hela.Baada ya hapo akili zikamrudia ma mdogo kupeleleza kumbe mwamba ni muongo, mdananda na kingereza chake cha kuungaunga anawaaminisha kasoma Mlimani.Baadae akaachwa ,akawa anaungaunga, halafu si unajua ukizoea kulelewa na wanawake, fighting spirit ile ya kama mwanaume unaiangamiza, yupo kila siku anataka kurudi kwa Ma Mdogo.habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote asiende kwenye mahafari hayo yaliyo fanyika october 15!
Wadau nilikuwa naomba mdau yoyote humu mwenye kitabu cha wahitimu udsm 2026 anisaidie kwenye website udsm sijafanikiwa kuona, ili niweze kutazama jina lake kama kweli ni miongoni mwa wahitimu!
Jambo la kawaida hilo kwa sisi tuliopitia ugaigai.Huyo dogo nae chenga sana, sasa kutoka form 2 mpaka 4 miaka yote miwili alikuwa anafanya nini na kuishi wapi au alipata mshangazi wa kumlea?
Akili hiyo wengi hawanaga zaidi ya kuspend hicho kidogo anachotumiwa.Gen Z hawatoacha kuwashangaza, hapo unaweza kukuta ana hadi familia na pesa za ada alikuwa anazungusha kwenye biashara Kariakoo au Sinza
na atarudi na kupokelewa... unazijua akili za mabinti wewe?Nina Ma mdogo wangu aliingia mkenge huo huo kwa mtoto wa mjini muhuni, mwamba aliingia na gia kamaliza Mlimani halafu HB basi kapagawa, akaja kumkatalia Dr aliyesoma Muhimbili. Basi akawa anawaambia amemaliza anatafuta sehemu atleast ya kujishikiza akisubiria mchongo wa kudumu. Mwamba akawa anaishi mpaka kwa babu huku ma mdogo akawa anamtoa kidogo akiwa na changamoto, akampa mimba ma mdogo, baadae akamwacha akaenda kuoa mwanamke mwengine mwenye hela.Baada ya hapo akili zikamrudia ma mdogo kupeleleza kumbe mwamba ni muongo, mdananda na kingereza chake cha kuungaunga anawaaminisha kasoma Mlimani.Baadae akaachwa ,akawa anaungaunga, halafu si unajua ukizoea kulelewa na wanawake, fighting spirit ile ya kama mwanaume unaiangamiza, yupo kila siku anataka kurudi kwa Ma Mdogo.
Inaonesha waliwekeza kwa matumaini ya kutunzwa huko baadae.Mbona kama wanafamilia ndo mnateseka kuliko mhusika mwnyw π
Familia inaona mtaji umeenda na maji bila kurudisha faida πInaonesha waliwekeza kwa matumaini ya kutunzwa huko baadae.
Sasa hapa samaki amekimbia na chambo.. π (utani)
Ni bora mleta mada kama unaweza kufika chuoni ufanye hivyo ili kupata taarifa za kina za huyo mpwa wako.
Kila la kheri.
Ana 28 now. Tumemfosia mahali yupo anapiga mishe mshahara sio mbaya kwa life la kibongo bongo. Mengine atajua mwenyewe mbele ya safari.si ajabu anazidi 30 yrs kabisa... sasa kila mtu anamuona adui... mshamba sana huyo kijana. aliendekeza ubishoo
Kwasababu akizingua mzigo unarudi kwa familia, mifano ipo.Mbona kama wanafamilia ndo mnateseka kuliko mhusika mwnyw π
so at that age akiulizwa una profession gani? atajibu yeye ni daktari, injinia au?Ana 28 now. Tumemfosia mahali yupo anapiga mishe mshahara sio mbaya kwa life la kibongo bongo. Mengine atajua mwenyewe mbele ya safari.
Sasa mshikaji ameamua kuzingua kweli πKwasababu akizingua mzigo unarudi kwa familia, mifano ipo.
Form six leaver imagine! Hivi vilast born vingine ni majangaso at that age akiulizwa una profession gani? atajibu yeye ni daktari, injinia au?
Bora azingue school halafu awe na akili za kulisongesha sreetSasa mshikaji ameamua kuzingua kweli π
Mimi nilikataa kufanya mahafali nikawaambia wanipe hiyo hela ya kugharamikia usafiri na sherehe kama mtaji kila mtu alijikalia kimyaMimi niliwakata ndugu zangu wasije kwenye mahafali , niliwachimba mkwara .kumbe sister alikuja Dar kuchukua mizgo yake ya biashara , nashangaa napigiwa simu kwamba anakuja yuko njiani tena akitokea Temeke alipofikia .