Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

Jamani.. mbona siku hizi hatupewi tena taarifa za wagonjwa wameongezeka wangapi kama mwanzo? Naona kila mtu kimya kama vile ugonjwa umeisha!
 
Bado una akili za kitumwa. Sikushangai, soma...

Tafakuri ya Faizafoxy 5: Mtego wa panya, Rushwa, Ufisadi, Siasa, Uchumi, vimenasa vyote? - JamiiForums
 
Wengi walieleza wamepataje , Ila kwa kesi ya mtoto wa Mbowe sijasikia
 

Tatizo Lako una hisia za kimaskini
 
Kwa uzii huu, akili yako yakutosha kwa kuvuka barabara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oxygen anayovuta mtoto wa Mbowe inaletwa na ndege kila asubuhi.
 
LOCK DOWN UNAIFAHAMu?
wakishua bhana
 

Akili za kipumbavu sana hizi..
 
Ikumbukwe kabla ya ugonjwa wa Corona haujafika Tanzania, Bavicha na chadema kwa ujumla walikuwa wakikesha mitandaoni wakiombea Corona ije ili wamkomoe na kumcheka rais Magufuli!.

Mwana jamii forum anayeitwa technically alileta Uzi humu akiombea na kushangaa kwa nini Corona haifiki haraka Tanzania!, Naam kama ilivyoandikwa aombacho mtu ndiyo hupewa, kama alivyoomba technically Corona imekuja Tanzania na hatua ya kwanza imeshambulia familia ya boss wake Freeman Mbowe!, nadhani sasa technically atakuwa anarukaruka kwa furaha sana huko aliko

Tuwaonye tu vijana wa chadema kuwa Mungu hana mchezo, mahaba yenu kwa Mbowe yasiwatoe ufahamu na kuanza kuiombea mabaya nchi mkidhani mnamkomoa rais Magufuli.
Sasa hivi mnamkejeli Makonda kwa kusema ni tasa mnasahau kuwa HalimaMdee ana miaka 45 na hana mtoto wala kutundikwa mimba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…