Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Mhutu kama wahutu wengine una jingine?
 
Wanajua na kufahamu aina ya watu wanaomtukana Baba yao!

Pia watanzania wote tunajua aina ya watu wanaomtukana Magufuli!

Pia tunajua Legacy ya Magufuli inavyoendelea kuwatesa wabaya wake,miaka takriban miwili baada ya kufariki kwake!

Ni wapumbavu,Mafisadi,Majambazi na kila takataka ya binadamu pekee,ndio wanaweza kuwa na roho za kutukana Makaburi.

Wafuasi wa Shetani Endeleeni.....
 
Vp nawe umezalishwa ukatelekezwa nn????
 
Hata ACT bado sio mbadala kwako??
 
Naweka wallpaper hili neno
 
Atatukanwa na watu wenye hulka na fikra za kitumwa kama wewe.
Wazalendo na wenye akili timamu wata muenzi kwa kuonyesha jinsi kiongozi anavyo paswa kuwa.

Magufuli atabaki kuwa Shujaa' milele.
 
Familia yake inajisikiaje kwa huyo Mwendakuzimu kutukanwa?
-Familia yake inajisikaje ikifikiria familia ya Ben Saanane?
-Familia ilisikia tamko la polisi kukataza watu kumuombea Lissu wakati amelazwa?
-Familia yake ilipokuwa ikisikia matuo ya wasiojulikana ilikuwa inajisikiaje?
.
.
Kuna mengi ambayo familia yake inapaswa kuwa inajiuliza.
 
Kweli wewe hujui Magufuli alikosea wapi!!!? Samia mwenyewe anahangaika kurekebisha maelfu ya makosa aliyofanya huyo mtu wenu. Juzi tu Samia ameondoa katazo la mikutano ya siasa lililowekwa na dikteta; hujui bado Magufuli alikosea wapi?!!!
Mwenyekiti wenu Mbowe pale Mwanza kasema. Katazo la mikutano haukuwa uamuzi wa Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…