Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Mhutu kama wahutu wengine una jingine?
 
Wanajua na kufahamu aina ya watu wanaomtukana Baba yao!

Pia watanzania wote tunajua aina ya watu wanaomtukana Magufuli!

Pia tunajua Legacy ya Magufuli inavyoendelea kuwatesa wabaya wake,miaka takriban miwili baada ya kufariki kwake!

Ni wapumbavu,Mafisadi,Majambazi na kila takataka ya binadamu pekee,ndio wanaweza kuwa na roho za kutukana Makaburi.

Wafuasi wa Shetani Endeleeni.....
 
Vp nawe umezalishwa ukatelekezwa nn????
Kiongozi anayeongoza taasisi kwa miaka zaid ya 20, na taasisi imekua ikipata ruzuku ya 300m per month kwa miaka 5 mfululizo, kiongozi huyo ameshindwa kujenga hata ofisi ya ya milion 30 ataweza kuongoza nchi?

Kiongozi anayepanda jukwaani akiwa amelewa, anazaa ovyo na wanachama na wakati ana ndoa ya kikristo ataaminika?

CCM siipendi lakini mbadala wake simuoni hapa nchini kwa sasa.. na ile kauli ya mwalimu Nyerere kua "mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kua bila CCM imara nchi yetu itayumba" ni ya kweli kabisa
 
Hata ACT bado sio mbadala kwako??

Ukiwa Mtawala inatukanwa Katiba siyo Wewe

Ukiwa kiongozi yanatukanwa maono

Ndio sababu mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Shujaa Maguful hakuzuia Mikutano ya hadhara bali walioizuia ni Kamati kuu ya CCM

Nyie vijana wa dotcom ni ngumu kuelewa haya

Huwezi Kuwa na Kiongozi halafu uwe na Katiba

Kiongozi ndiye Katiba

Yesu ndiye Neno la Mungu!
Naweka wallpaper hili neno
 
Ni makosa ya baba yao, yeye aliendekeza ubinadamu wake na atatukanwa sana kwa vizazi na vizazi. Mtoto atakaezaliwa mwaka 2050 akisikia kwamba kuna jitihada zilifanywa kukuza na demokrasia na haki za binadamu ila akaja mtu mmoja anaitwa ...... akarudisha jitihada hizo nyuma lazima atamtukana!
"Maisha ya binadamu ni hadithi"-Mzee Mwinyi
Atatukanwa na watu wenye hulka na fikra za kitumwa kama wewe.
Wazalendo na wenye akili timamu wata muenzi kwa kuonyesha jinsi kiongozi anavyo paswa kuwa.

Magufuli atabaki kuwa Shujaa' milele.
 
Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Familia yake inajisikiaje kwa huyo Mwendakuzimu kutukanwa?
-Familia yake inajisikaje ikifikiria familia ya Ben Saanane?
-Familia ilisikia tamko la polisi kukataza watu kumuombea Lissu wakati amelazwa?
-Familia yake ilipokuwa ikisikia matuo ya wasiojulikana ilikuwa inajisikiaje?
.
.
Kuna mengi ambayo familia yake inapaswa kuwa inajiuliza.
 
Kweli wewe hujui Magufuli alikosea wapi!!!? Samia mwenyewe anahangaika kurekebisha maelfu ya makosa aliyofanya huyo mtu wenu. Juzi tu Samia ameondoa katazo la mikutano ya siasa lililowekwa na dikteta; hujui bado Magufuli alikosea wapi?!!!
Mwenyekiti wenu Mbowe pale Mwanza kasema. Katazo la mikutano haukuwa uamuzi wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom