Kweli nyie wanawake ni wapumbavvu sana na mna fikra za kiuaji tu.Utakufa - hiyo ni fact na huwezi kuibadili.
Andaa mazingira, ikitokea umetangulia wewe, watoto wako wasiteseke.
Mtoto ana wazazi wawili. ikitokea wamefariki wote ni bahati mbaya , kuwa na wazazi wawili hiyo ina maana kuwa ikitokea mzazi mmoja amefariki au amepata janga kuu basi mtoto atalelewa na mzazi mmoja anayebaki.Kweli nyie wanawake ni wapumbavvu sana na mna fikra za kiuaji tu.
Haya chukulia mfano mmekufa wote wewe na mumeo kwenye ajali ya gari mkiwa mnatoka kazini, vipi huyo mtoto au watoto wenu wataishije?
Unamuwazia ni mwanaume tu pekee ndio atayeanza kufa unasahau kwamba kuna kufa wote wawili ghafla
Na ndio maana wakiona haufi wanaamua kukutanguliza, maana tayari wameshapanga maisha yao baada ya wewe kufa yatakuwaje na wanakuwa wanasubiri kwa hamu sana ufe. Sasa wakiona bado una dunda tu inakuwa ni kama unawachelewesha kuishi maisha wayatakayo hivyo wanaamua kukutanguliza kwa gharama yoyote ile.Una uwezo wa kudhani upo na mwanamke wa ndoa Sasa huyu mwanamke bado anakuwa akifikiria wakati mumewe atakapo kufa ku spenda mali za mmewe Hii ni dharau kubwa na fikra mbovu kabisa Badala ya kuishi maisha yenye heshima na kutafuta mafanikio anajishughulisha na mambo ya urithi na kufikiria kifo sijuh mfano akifa ! Hili si tabia ya mtu mwenye moyo wa uzalendo wala heshima bali ni tabia ya ubinafsi na wivu usio na kikomo
Hivi umewahi kufuatilia hata logic waliyonayo ya wao kusema hiyo kauli yao kwamba ukifa utaniachaje na wanao???Mtoto ana wazazi wawili. ikitokea wamefariki wote ni bahati mbaya , kuwa na wazazi wawili hiyo ina maana kuwa ikitokea mzazi mmoja amefariki au amepata janga kuu basi mtoto atalelewa na mzazi mmoja anayebaki.
Wewe mwenzangu umetishika au bado?Acha kuwatisha wenzako ?
Kwahiyo sifa kuu ya mkeo mtarajiwa ni awe na papuchi tamu kuliko zote ulizojilia π€£ π€£ π€£Mimi lazima niwachovyechovyele Sanaaa itakayokuwa tamu ndio naoa
Muhimbu, nani amekuumiza vibaya hivi mpaka una mawazo kama haya?Na ndio maana wakiona haufi wanaamua kukutanguliza, maana tayari wameshapanga maisha yao baada ya wewe kufa yatakuwaje na wanakuwa wanasubiri kwa hamu sana ufe. Sasa wakiona bado una dunda tu inakuwa ni kama unawachelewesha kuishi maisha wayatakayo hivyo wanaamua kukutanguliza kwa gharama yoyote ile.
Ndio ile unaskia mume kavamiwa na majambazi akiwa anatoka kazini yakamuaa tu halafu hakuna yalichochukua, zinabaki stori tu kwamba marehemu atakuwa amedhulumiana na wenzie kwenye biashara zao na ndio chanzo cha kifo chake, kumbe mke wake ndio mastermind wa tukio zima.
Halafu siku ya mazishi huyo mke mwenyewe analia kuliko hata ndugu wa marehemu tena ikiwezekana anajifanya kuzima kabisa.
Ndio maana mimi siku hizi nikihudhuria misibani halafu nikimuona mke wa marehemu analia sana kuliko hata ndugu wa marehemu huwa napata mashaka, maana unaweza ukakuta nyie mnamuona analia kumbe mwenzenu moyoni anafanya sherehe kubwa.
na sisi tunaolea watoto sio wetu tupo upande gani????Kama wewe ni mwanaume na una povu, nenda kalitapikie sehemu nyingine, huu uzi usiuguse π«β!
Upande wa wenye heri ambao mtabarikiwa mpaka mshangae!na sisi tunaolea watoto sio wetu tupo upande gani????
Prakatatumba abaabaabaaTunawekwa kwenye ndoa,tunazaa afu tunamwagwaππapo kifupi tusizae kabisa,,sai hata izo ndoa ni prakatatumbaaa.
Muhimu sanaKwahiyo sifa kuu ya mkeo mtarajiwa ni awe na papuchi tamu kuliko zote ulizojilia π€£ π€£ π€£
Kwanin hayo niliyoyasema hapo kwenye comment yangu huwa hayatokei?Muhimbu, nani amekuumiza vibaya hivi mpaka una mawazo kama haya?
Kwa hili jibu jepesi hivi inaonesha kiwango chako cha kufikiri na namna unavyoyachukulia kiwepeai mambo mazito yanayowaathiri wanaume.Upande wa wenye heri ambao mtabarikiwa mpaka mshangae!
Sawa, na ikawe hivyo π ππMuhimu sana
Mimi kwenye hiyo comment nimeelewa huyo ni baba wa kambo, kwani wewe mwenzangu umeelewaje?Kwa hili jibu jepesi hivi inaonesha kiwango chako cha kufikiri na namna unavyoyachukulia kiwepeai mambo mazito yanayowaathiri wanaume.
Wewe mwanamke akili huna kabisa, sidhani kama unajua jinsi vile mwanaume anabaki na pyschological trauma nzito baada ya kujua mtoto aliemlea miaka 6 sio wake.
Kwanin awe baba wa kambo bila mkewe kumwambia ukweli? Si ndio utapeli wa uzazi(partenity fraud) huo?Mimi kwenye hiyo comment nimeelewa huyo ni baba wa kambo, kwani wewe mwenzangu umeelewaje?
Njia ya 2Kichuri ndiyo nini tena π
π€£ I'm not sure kama nakubaliana na wewe πNjia ya 2
ππSawa, na ikawe hivyo π ππ