Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Limepata ajali ya kuharibiwa na risasi ila polisi wamegoma kutoa ripoti ya shambulio hilo, sasa ataanzaje kudai bima.Gari limekaa miaka 7 + polisi bima itoke wapi no renew by police na halikupata ajali as such. waulizwe police km waliongeza muda kutoa ni moyo siyo shuruti wacha wengine wachangie tu
Kwa kawaida Bima wakikulipa pia owner hupewa first priority kulinunua...au wanaweza kukwambia ulipereke kwenye garage Yao likakarabatiwe..(which is most likely kitu kitakachotokea) na kama unakumbuka complain ya Number plate...hiyo inaweza kumpa fursa ya kuli- pimp na kuweka namba mpya, na pesa itakayochangwa ikafanya mambo mengine muhimu...so 3 birds by 1 stone...same car but newer(pimped) , cash from insurance and donations.Kuhusu Bima nionavyo Mimi wangemlipa, like Gari wangechukua na kuliuza au kuliharibu, wakati Lissu alilihitaji kama kumbukumbu.
Kwa hali aliyokuwa nayo baada ya lile tukio la kishetani hivi angeweza kufuatilia?
Wewe hata msibani uchangi kuna watu mmeumbwa hivyoSawa, lakini lazima tuhoji usafi wa kila mwanasiasa regardless ni nani
Shida watu mmerukia gari njiani. Utaliowaje bima huku una gari mkononi?. Bima inalipwa ukarababti gari au gari lirejeshwe bima uplkabidhiwe jipya. Sasa Lissu anataka abaki na gari Kama lilivyo iwe kumbukumbu.Ila chadema ni mataaira🤣🤣🤣 sasa anataka gari la milioni 30 na watu wanamchangia, kwani lissu alikua anafanya kazi gani kabla hajawa mbunge? 🤣 yani cdm wakiishika hii nchi kuiongoza mi nahamia guantanamo🤣 na wanachama wanachangia eti ni WAJIB🤣
Muda wa kufile claim ilishapita. Pia kumbuka polisi waligoma kumuachia Lissu gari mpaka juzi.Kwenye suala la bima Fatma yuko spot on...CDM wawe makini sana kwenye hili tusije tukaanza kuwafananisha na ma CCM
Laiti Hizi nguvu zingetumika, kuikaba CCM kila report yq mkaguzi inapotoka na kuonyesha wizi, wa kutisha,Kuna ukakasi mwingi sana atoke adharani aseme kuhusu hii sintofahamu. Kukaa kimya wenye akili timamu na uelewa wanabaki na maswali yasiyo majawabu.
Punguza unafiki. Lengo la kumchangia Lissu ni kwamba abaki na gari liloshambuliwa kama kumbukumbu, Sasa utadaije bima wakati gari unalo na Wala hulitengenezi.Anajaribu kuepuka disappointment toka kwa mwanasiasa anayempenda kwa kujipa faraja.
Wabongo bwana. Wakati polisi wanamkataza Lissu asichukue gari 2020 mlikuwa wapi?. Leo ndio mmeamka na ngonjera.ndiyo mjue kwamba mnadanganywa mengi sana, wameshalewa power walio nayo juu yenu na wameonyesha haina ukomo lkn pia hakuna aliyelazimishwa kumchangia bilionea ni uamuzi wenu …
Ilifaa ujinyonge na sio kwenda Guantanamo.Ila chadema ni mataaira🤣🤣🤣 sasa anataka gari la milioni 30 na watu wanamchangia, kwani lissu alikua anafanya kazi gani kabla hajawa mbunge? 🤣 yani cdm wakiishika hii nchi kuiongoza mi nahamia guantanamo🤣 na wanachama wanachangia eti ni WAJIB🤣
Ila wabongo mmezidi ujinga. Yani suala la bima linawapiga chenga. Lissu kapigwa risasi 2017 gari limetoka polisi 2024. Hiyo bima inatoka wapi?. Pia lengo la kumchangia Lissu abaki na gari Kama kumbukumbu.Tundu Lissu ameomba huruma kwa wananchi wamchangie ili apate gari lingine, alivyo mjanja sasa alikaa na Maria sarungi ambaye hana shughuli za kufanya wakatengeneza dili LA kupiga hela,kwamba maria aanzishe mchango na Kisha atakula 10%, kimsingi gari la lissu lilikuwa na bima na lissu ni lawyer na anajua madhara yakuendesha gari bila bima, ss inakuwaje unaomba uchangiwe hela ukanunue gari wakati gari ilikuwa na insurance, halafu tang uanzishe harakati hizo na kimada wako kwanin chama chako kimekaa kimya hakiungi mkono jambo hilo? Unajifanya mwadilifu kumbe mwizi tu kama walivyo wezi wenzio.
Michango itapungua kwa lipi?. Ni wananchi wameamua kumchangia Lissu, kelele zimekuwa nyingi. Kama huchangii Kaa kimya.Ndiyo maana nimesema inabidi ifafanuliwe...si kila mtu anauelewa kama wako mkuu. CCM wanafeli mara nyingi kutoa clarifications kwenye mambo mengi mpaka inapotokea taharuki ndiyo wanajitokeza kufafanua....vitu vidogo kama hivi vikitumiwa vizuri na ccm michango itapungua sanaa
Hivi kweli Bima za Tanzania zinalipa wateja wao wanapo patwa na majanga au Bima ni industry ya kushirikiana na serikali kupiga wananchi?Asante kwa ufafanuzi
Pia Bima ikimlipa Gari liloharika inakuwa Mali ya Bima.Mtoto wa Kiume kuongea huku unachekacheka hovyo si dalili nzuri, jikaze
Wananchi wameamua kumchangia Lissu kwa hiari, Sasa ufafanuzi wa Nini. Ni shuruti kuchangia. Kama hujachangia unatulia wengine wenye hiari wachangie.Ndiyo maana nimesema inabidi ifafanuliwe...si kila mtu anauelewa kama wako mkuu. CCM wanafeli mara nyingi kutoa clarifications kwenye mambo mengi mpaka inapotokea taharuki ndiyo wanajitokeza kufafanua....vitu vidogo kama hivi vikitumiwa vizuri na ccm michango itapungua sanaa
Dah! Ila wewe jamaa una roho mbaya Sana. Proj J alichangjwa na wananchi Tena kwa harambee leaders club ila Serikali ya Samiah ikajitolea kumlipia gharama zote za hospitali. Ulitaka Prof j awarudishie pesa wote waliomchangia akiwa hoi hospitalini?. Uwe na ubinadamu beyond siasa.Lissu ana historia ya kuchangiwa pesa za matibabu na wananchi masikini kisha baadae akapewa na serikali na hakurudisha. Akapata pote pote. Amekosa integrity
Ndio aliikatia bima?. Unataka alipwe na bima halafu gari abaki nalo?. Wananchi wamechamgia ili gari abaki nalo Kama ukumbusho.Vandalism
Unatakiwa kufile claim ndani ya miezi SITA. Na claim iwe kwenye insurable interest ajali au moto etc. ungetuambia insurable interest ilikuwa Nini , maana probably ni ajali.Gari kukaa miaka 7 polisi sio ishu. Bima walishapewa taarifa wakati wa tukio, hujui ilo?