Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.
Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.
Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.
Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.
Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.
Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.
Mimi nilishachanja tangu March.Nawambia kama chanjo itakuja yakutosha bi, Chokochoko atawachanja kibabe, mtake msitake. Lazima tudhibiti maambukizi ili maisha yaendelee .
Mpumbavu ni wewe na wapumbavu wenzako mlioshindwa kutafuta sources za income mnaleta mambo ya kifirauni. Wewe sio Mbaga lazima utakua wa ujombani, oumbsvu kabisaChadema na mbowe wote ni wapumbavu, wewe kama unataka chanjo bc tuliza hilo wezere subiri hy chanjo na sio kusema ni lazima.
Acha uongo, mimi nimechanja na ninadunda tu! Kama wewe hutaki chanjo its ok, ila siyo kupotosha watu! Hizo habari za Uganda na Kenya wewe umezipata wapi? Acha upotoshaji mkuuZikiletwa nenda kachanjwe wewe na ukoo wako wote, wengine tuache. Huko Uganda na Kenya wengi wa waliochanjwa wameshaanza kuonja joto ya jiwe ya side effects za chanjo. Na wengi wameshazikwa na serikali zao zipo kimya. Ila Raisi Samia ana taarifa zote ndo maana anasuasua kuleta hizo chanjo.
Hata Mimi nampinga mbowe kuhusu hili la chanjo.Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mbowe naye aache mihemko ya kipumbavu! Watu tulikuwa tunamwona genius kumbe naye hopeless tu wala hana tofauti na Ndugai. Ina maana CHADEMA wangeshinda uchaguzi angetulazimisha kuchoma chanjo? Kajiharibia sana na tunamwona jinsi gani alivyo dikteta!Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Laiti mngeijua Corona inavyotesaKiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Mbowe anajali afya za watanzania na anajua Ni jinsi gani Corona inavyotesa, tatizo Magufuli ameharibu akili zenuMbowe naye aache mihemko ya kipumbavu! Watu tulikuwa tunamwona genius kumbe naye hopeless tu wala hana tofauti na Ndugai. Ina maana CHADEMA wangeshinda uchaguzi angetulazimisha kuchoma chanjo? Kajiharibia sana na tunamwona jinsi gani alivyo dikteta!
Akiijali familia yake inatosha.Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.
Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.
Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.
Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.
Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.
Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.
brazaj hata wewe!Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Wakati anasubiria jibu lake akawachanje kwana wanaye asisubiri order ya Rais. Ila sisi wengine hatutaki chanjo.Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Tatizo lako Shonza ni kupita na waume za waume, afu ujue mwigulu kaoa, na ana bahati mbaya ya kufumaniwa kama mwenzake chawene, wote hawa walifumaniwa singida kwa nyakati tofauti, we endelea nae tu mkewe akikukamataTatizo la Mbowe ni mbumbumbu na kutokwenda shule
Ni lazima ndio mbona ya ndui na polio ni lazimaNarudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Hiki kitu ni hadithi za kijinga.
Kwa sababu kwanza nchi haina chanjo za kutosha kuchanja watu wote ambao wanatqka kupata chanjo.
Sasa unaanzaje kuongea habari za kulazimisha watu kuchanja wakati watu wanaotaka kuchanja hujaweza kuwatimizia haja yao?
Lakini isiwe lazima,Kwenye kutoa maoni hakuna right or wrong - kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ni kama A kusema kuwa na baiskeli ni bora kuliko kuwa na radio kwa sababu kama una mgonjwa unaweza kumbeba na kumpeleka hospitali na B akasema ni bora kuwa na radio kwa sababu unapata habari ambazo zinaweza kukusaidia hata kujua baiskeli zinauzwa wapi na ni bei gani.
Ukianza kuwa msukule wa mtu, hata uwezo wako wa kufikiri inabidi umkabidhi.Ikishafikia hatua kutokuchanja kwako kunahatarisha maisha ya wengine basi hakuna jinsi inabidi uchanjwe kwa lazima
Hivyo ndivyo kwa chanjo zote ambazo zinalenga kuondoa magonjwa yote hatari kwa halaiki , ndiyo maana Mgambo hupelekwa vijijini kusimamia uchanjaji
Siyo usukule, ni common sense tuUkianza kuwa msukule wa mtu, hata uwezo wako wa kufikiri inabidi umkabidhi.
Mbowe ni mpumbavu kama walivyo wapumbavu wengine.