HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Kwahiyo mama yake Fei ndio sheria za TFF? Yaani ukitaka mahakama iandike hukumu kwa lugha unayoitaka wewe ufanye hivyo kwakuwa unataka Dunia nzima ijue?Kwanza sio kweli kuwa mdaiwa aliridhia wasome hadharani na hata ushahidi wa hili najua huna, umeandika tu kuifamya stori yako iwe convincing...
Mimi hata hiyo hiyo mahakama naona inatoshawaende mahakama ya soka afrika
mama hakuna anacho jua, anahangaika tu....
Hayajitoshelezi. Toa elimu mtaalam usaidie wengine. Sheria ipi inayotumika kuongeza muda wa mkataba zaidi ya muda uliopo kwenye mkataba na ni katika mazingira yapi hiyo sheria inatumika?Rudi usome maelezo yangu, yana jitosheleza kabisa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
usiropoke usichokijua,kwenye shauri kuna hukumu na mwenenendo wa hujumu,kwanza hutolewa hukumu na baadae wahusika hupewa mwenendo wa hukumu,acha kujamba hovyoMimi hata hiyo hiyo mahakama naona inatosha
Ila waweke kila kitu mezani kubainisha hukumu imetolewa kupitia references za vifungu gani watu tujue
Hili swala la kufanya vitu kizani ndio ishu nayoikataa.
Hivi hayo mapenzi na Feisal yame anza lini?Na ukifatilia katika maelezo yangu utaona hakuna sehemu nimedai Camera ziwepo mahakamani
Nimetoa mifano ya kina Morrison nikijua watu rational watanielewa
Nani kasema mama yake Feisal ndio sheria za TFF?Kwahiyo mama yake Fei ndio sheria za TFF? Yaani ukitaka mahakama iandike hukumu kwa lugha unayoitaka wewe ufanye hivyo kwakuwa unataka Dunia nzima ijue?...
Hivi hayo mapenzi na Feisal yame anza lini?Na ukifatilia katika maelezo yangu utaona hakuna sehemu nimedai Camera ziwepo mahakamani
Nimetoa mifano ya kina Morrison nikijua watu rational watanielewa
Hiyo hukumu inashindikana vipi kutolewa ufafanuzi jinsi sheria ilivyo hukumu?usiropoke usichokijua,kwenye shauri kuna hukumu na mwenenendo wa hujumu,kwanza hutolewa hukumu na baadae wahusika hupewa mwenendo wa hukumu,acha kujamba hovyo
Hata mi naweza nikakuuliza chuki na fitina dhidi ya Feisal ilianza lini
Nimetoka kumaikiliza F Karume anasema hajapata nakala ya hukumu na sababu ila akishapata Fei atatoa maelekezo baada ya yeye kushauri.Hiyo hukumu inashindikana vipi kutolewa ufafanuzi jinsi sheria ilivyo hukumu?
Kesi ya Morrison na press ziliifanyika ina maana walivunja sheria?
Kwanini swala hili liwe siri?
Hoja yangu mimi ni kwanini hiyo hukumu isiwekwe open kila mfatilia soka ajue?Nimetoka kumaikiliza F Karume anasema hajapata nakala ya hukumu na sababu ila akishapata Fei atatoa maelekezo baada ya yeye kushauri.
Nadhani watatoa hiyo nakala ya hukumu kwa wahusika J3 kama nilisikia vzr. Baada ya hapo kila kitu kitakuwa wazi, unleas wahusika waamue vinginevyo.Hoja yangu mimi ni kwanini hiyo hukumu isiwekwe open kila mfatilia soka ajue?
Kuna madudu ambayo TFF imefanya na haitaki watu wayaone kwasababu wataonekana hawajafanya haki?
Mbona kesi za kina Morrison kila kitu kilikuwa wazi?
Fei...arudi tu jangwani aombe radhi kwa utoro na aombe ruhusa ya kuondoka rasmi jangwani.Marejeo ya kesi ya Feisal vs Yanga yametolewa na TFF kupigilia msumari kwenye kaburi la Mla UGALI na SUKARIView attachment 2535209
Umekurupuka bro.. Wamesema hayo ni maelezo ya awali huyo fei wako atakula nyundo mpaka hutaamini.Hoja yangu mimi ni kwanini hiyo hukumu isiwekwe open kila mfatilia soka ajue?
Kuna madudu ambayo TFF imefanya na haitaki watu wayaone kwasababu wataonekana hawajafanya haki?
Mbona kesi za kina Morrison kila kitu kilikuwa wazi?
NoNadhani watatoa hiyo nakala ya hukumu kwa wahusika J3 kama nilisikia vzr. Baada ya hapo kila kitu kitakuwa wazi, unleas wahusika waamue vinginevyo.
That's is the best way of solving his issue. Akijifanya kala [emoji263] itakula kwakeFei...arudi tu jangwani aombe radhi kwa utoro na aombe ruhusa ya kuondoka rasmi jangwani.
Dogo hajautumikia mkataba wake ile barua ya Yanga kwa TFF ni mtego itafika mda Yanga watadai mda amabao Fei hakua eneo lake la kazi firikia hii kesi ikienda CAS inaweza chukua miezi 6 ikitokea akashindwa atahesabiwa mda wote ambao hakuwa na timu means itabidi alipe huo mda watalipana vipi? tusubiri tuoneHayajitoshelezi. Toa elimu mtaalam usaidie wengine. Sheria ipi inayotumika kuongeza muda wa mkataba zaidi ya muda uliopo kwenye mkataba na ni katika mazingira yapi hiyo sheria inatumika?
Maelezo ya mwisho wamesema watapewa wahusika pande mbili (Feisal na Yanga)Umekurupuka bro.. Wamesema hayo ni maelezo ya awali huyo fei wako atakula nyundo mpaka hutaamini.
SahihiDogo hajautumikia mkataba wake ile barua ya Yanga kwa TFF ni mtego itafika mda Yanga watadai mda amabao Fei hakua eneo lake la kazi firikia hii kesi ikienda CAS inaweza chukua miezi 6 ikitokea akashindwa atahesabiwa mda wote ambao hakuwa na timu means itabidi alipe huo mda watalipana vipi? tusubiri tuone
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app