Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Uonevu tu. Waweke hoja zilizobishaniwa na rejea za vifungu kila mtu aone.
Kila mtu? Nani na nani mkuu?

Nadhani wahusika wa pande zote mbili wanajua kilichojadiliwa, na hiyo tareh 6 watapewa nakala kwa maandishi.

Kama unamaanisha watanzania wote waone, basi hiyo ni uhamuzi wa pande moja wapo kutoa hizo taarifa
 
Huo wema utatuathiri baadae...anachotaka ni kuachwa huru...ndio lengo lake kuu mpaka kufika huku...kwahiyo ukijifanya una huruma unafanya wema...utakuwa umefuma bomu jingine..wachezaji wengine watafanya kama fei...wakiamini yanga watamwachia tu...hii ni kukaza ili iwe fundisho kwa yeyote atakayediriki kufanya kama fei...
 
Kesi ya Manara sikufika ila vifungu vilisomwa tena mbele ya camera
Haikuwa confidential, kuna kesi ambazo ni confidential- zinazohusisha maisha binafsi ya mtu na ambazo sio confidential- taarifa zake hazimchimbi mtu kiundani zaidi.

+Kesi ya manara haikuwa ya kimkataba as same as ya mbowe

+ndio maana hata ulaya hawaweki wazi mkataba mzima sana watazungumzia malipo ya wiki, mwezi, bonus e.t.c lakini sio kuonesha mkataba kiujumla

+ kesi kama hii kuiweka wazi ni sawa na kuvujisha siri ya taasisi.

Kesi zote za michezo hususani football sijawahi kuona mkataba unawekwa wazi kwa ajili ya kuchambuliwa, hii kesi ime-base sana kwenye mikataba.

Hata hiyo Mil4 per month ni kama wamefanya kosa thus why haikufahamika mapema hivyo kuirusha kesi Live makosa kama hayo yangeongezeka zaidi na zaidi coz kuna vitu nyeti humo. Unahisi kwanini (Yanga&Fei) hawakuposti mkataba wao,,, sio wajinga walee
 
Haikuwa confidential, kuna kesi ambazo ni confidential- zinazohusisha maisha binafsi ya mtu na ambazo sio confidential- taarifa zake hazimchimbi mtu kiundani zaidi....
Na Kesi ya Morrison haikuwa ya kimkataba?
 
Hoja yangu mimi ni kwanini hiyo hukumu isiwekwe open kila mfatilia soka ajue?

Kuna madudu ambayo TFF imefanya na haitaki watu wayaone kwasababu wataonekana hawajafanya haki?

Mbona kesi za kina Morrison kila kitu kilikuwa wazi?
Kesi uhukumiwe leo, nakala ya hukumu itoke leo? ama kweli vijana mna angamia kwa ujuaji

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kesi uhukumiwe leo, nakala ya hukumu itoke leo? ama kweli vijana mna angamia kwa ujuaji

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Swala la uelewa bado ni changamoto nayokutana na wadau wengi wa humu

TFF haijasema siku itayotoa nakala ya hukumu itatolewa public

Kwenye hukumu ya mwanzo TFF walisema hivyo hivyo kuwa watatao, watu tulikuwa tunangojea press release au conference tusikie hiyo hukumu

Siku waliotoa ahadi kuwa watatoa hiyo hati ya hukumu ilipopita waru ndio wakaanza minong'ono "mbona hati hatujaiona" ndio tulipowasikia TFF wakitoa kauli kuwa hati imetolewa pande mbili za wahusika na kesi walishapokea hati ya hukumu siku ileile

Kwa hiyo hata ukisema hati ya hukumu haitolewi leo bado unakuwa huelewi hoja, kwasababu hata hiyo siku itayotolewa bado itakuwa confidential kaka ilivyofanyika awali
 
Ungepunguza ujuaji ukaeleweshwa TFF hawezi muadhibu Fei sababu TFF hawa dili na utoro wa mchezaji huo ni wajibu wa club kesi iliyopelekwa ni uhali wa mkataba wao wamethibitisha kwamba ana mkataba halali hayo mengine ni yako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wapi ulipoona mawakili wa yanga na wa Morrison wakijibizana kwa vifungu na kwa hoja kama unavyotaka iwe
Chukua buku kanunue akili

Mi nazungumzia mchanganuo wa hukumu kuwa public we unaleta habari za debate za mawakili?
 
Ushauri wangu ni kwamba mtafute Feitoto kisha umpambanie mpaka aipate haki yake, maana kwa maswali yako unayouliza inaonesha ni wazi hauna Imani na wanaomsimamia Feitoto upande wa sheria hadi kupeleka Feitoto kushindwa. Nafasi ni yako sasa na wengineo kumtafuta Feitoto na kujivisha mabomu ya kumsaidia ikibidi mpelekeni hadi CAS
 
Utatoaje hati wakati mlalamikiwa kaomba review?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sio ujuaji, halafu nawewe una inferior ya kishamba sana

Swala ambalo limetolewa hukumu na Mahakama linaanzaje kwenda tena kuamuliwa kupitia muongozo wa Club?

Maana yake Mahakama haitoshi kwenda kuamua?

Ishu ya Morrison uliona Club ndio imetoa adhabu ya faini au ni mahakama?
 
Sijataja ushauri

Nataka hoja ijibiwe kwa majibu sahihi

TFF ndio ya kuitilia mashaka kwasababu haikuwa na sababu ya kulifanya hili jambo gizani wakati kesi nyingi tumeziona wakitolea mchanganuo mbele ya camera
 
Akili zako za buku ndio zinakupoteza, TFF wamesema tar 6. March watafanyaje?
Acha kutangaza uzuzu wako bwana
Tarehe 6 march TFF wamesema hati inawekwa public?

Kwe.ye maamuzi ya awali hawakusema hivyo?

Huelewi hata unaandika nini ili ujibu nini
 
Haya mambo ni oversize kwako, Feisal atapewa adhabu na club yake kwa utovu wa nidhamu kama atarudi kambini endapo ata kaidi Yanga wata fungua kesi nyingine ya kuto futatwa kwa vipengere vya mkataba pamoja na hilo la kutoitumikia timu akiwa na mkataba ulitaka wamuadhibu vipi wakati kesi ilikua ni kupitia uhali wa mkataba

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…