Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Huko nako kimeumana kumevamiwa utakutana na sheikh Ubwabwa na askofu Rashid...basi tu!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Viva CDM,Viva Mbowe endapo haya ni ya Kweli.
 
Reactions: BAK
Kama unao ushahidi basi wakilisha vielelezo vyako TAKUKURU na kungine kokote unakotaka.
Hauna acha kubwabwaja nenda kalale kwenye mkeka wenu Lumumba.
Mkubwa anawahadaa wenzake huku yeye akipokea ruzuku kupitia mlango wa nyuma. Serikali, Mbowe na wale wabunge wa viti maalum 19 lao ni moja tu.
 
Reactions: BAK
Anachukua kisheria ila akija kwa misukule yake anasema hatuchukui maana hatutambui uchaguzi
Ndugu yangu watia huruma. Chukua vielelezo vyako peleka kwa Nduguyai na Lijualikali watakusaidia zaidi.
 
Reactions: BAK
Anachukua kisheria ila akija kwa misukule yake anasema hatuchukui maana hatutambui uchaguzi
Ndugu yangu watia huruma. Chukua vielelezo vyako peleka kwa Nduguyai na Lijualikali watakusaidia zaidi.
 
Achana na boya hana mbele wala nyuma kazi kuleta umbeya tu humu nakukimbilia kupiaga watu ban humu achunguzwe amezidi huyu mnaa
 
De Gea kamuiga golkipa mwenzie ila kaingia chaka...
Samahani lakini....
 
Sasa mkuu MBOWE unafikiri lile ombi lako kwenda ongea na Mama litakubaliwa kwa jeuri hii..
Kwanza mimi sio Mbowe 🤣 kumbe weng humu hua mna doubt tuu vile mtu akiongea juu ya flan mnajua ni muhusika. BTW hiyo sio jeuri ni msimamo wa chama chake, usiogope kusema ile kweli kisa utanyimwa ugali wa shikamoo.
 
acha uzwazwa we kima account ileile ya zamani ndiyo mzigo huwa unaingizwa humo kumbe mmedanganywa ili makengeza le ruzuku vizuri?? hamna akili
 
Sasa personal attacks za nn mzee? Wee weka evidence tu zinazoonyesha anafaidika na hao 19 mbona simple tu 🤣🤣🤣
YAANI mnamwenyekiti ambaye hamumjui vizuri huyo ni mpigaji achana naye kabisa mwenzenu ananufaika na hao wabunge 19 nyie mnashinda kwenye mitandao mtaolewa mwaipaya na mwenyekiti pambalu
 
Mnakataa ruzuku je watwambie chama ni miradi gani na fedha za kulipa kodi za ofisi nmnapata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…