Wakati unaendelea kusubiri hilo, sisi tunachangishana buku buku kujenga ofisi. Ccm ilikosea sana kuiacha cdm kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa imani. Kwa sasa cdm inaweza kujiendesha kwa kutegemea wafuasi wake, na sio huo mtego wa ccm wa ruzuku. Na chama kinapofikia hapo huwezi kukiua kwa nguvu za dola.
waulize nccr watakupa taarifa nzuri, huezi endesha chama bila support ya serikali ilopo mdarakani, kama bashiru alivowaambia anaweza kutumia dakika 15 tu kusambaratisha chadema vipisi vipisi
Ww utakuwa ni mzee lazima ndio maana unatumia mifano ya zamani. Kwa taarifa yako cdm imevuka hatua ya kuwa chama cha siasa, na sasa imegeuka imani. Vyama vyote vilivyoendelea kutegemea ruzuku ya serikali badala ya wafuasi wake vimeanguka na kudhoofika, cdm kwa sasa wameruka kiunzi hicho. Sasa hivi cdm inajenga ofisi zake nchini kwa kutumia nguvu ya wafuasi wake. Nimewahi kutabiri kuwa siku za ccm kuendelea kuwa madarakani kihalali, ama kwa wizi kama ilivyo jadi yao kwa sasa zimeisha.
Tunarudia kuwaambia kuwa "WEKENI HAPA USHAHIDI WA BANK SLIP INAYOONYESHA KUWA MBOWE/CHADEMA WANAPOKEA RUZUKU"Mkubwa anawahadaa wenzake huku yeye akipokea ruzuku kupitia mlango wa nyuma. Serikali, Mbowe na wale wabunge wa viti maalum 19 lao ni moja tu.
Ruzuku ya kazi gani nyie kwa kiti kimoja cha jimbo? Mnajidai kujipuliza upepe kua puto wakati ni upepo tu? Chadema iache vitisha na kujitutumua kwa sababu kimekwisha kisiasa. Waache kutoa cheche za upepo maana haziwashi moto popote😂😂
ungeuliza mamlaka husika ambazo zimemfanyia uchunguzi
Aaah basi nawe utakua mjinga sana..Kwamba wanakubali mtu achafue taasisi yao? Ebu leo ongea baya kwa Rais tuone kama utaachwa huruYani waje watangaze ili iweje sasa?
Wao wanatimiza wajibu wao wa kisheria, wakishatimiza hawana haja ya kuja kujibizana na wajinga wanaoibiwa na Mbowe
Acha mizaha Mkuu hapa siyo FBMkubwa anawahadaa wenzake huku yeye akipokea ruzuku kupitia mlango wa nyuma. Serikali, Mbowe na wale wabunge wa viti maalum 19 lao ni moja tu.
Unatakiwa uwe na akili finyu kama za akina afande selle au musiba kuandika upuuzi kama huu. Hata hivyo unaonekana wewe ni mmoja wa wapuuzi tulio nao nchini.Mbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Imekaa ki Instagram mkuuMbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Poleni kwa mateso! Ruzuku mnaitaka lakini haichukuliki! Ukiichukuà maanà yake unawatambuà wabunge wako ¹19! Uñaishia kusemà sizitaki mbichi hizi! Ilà Igandu mbabe sio mchezo!!
Ila ndio ukweli mkuuImekaa ki Instagram mkuu
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnang'akaUnatakiwa uwe na akili finyu kama za akina afande selle au musiba kuandika upuuzi kama huu. Hata hivyo unaonekana wewe ni mmoja wa wapuuzi tulio nao nchini.
Hujui chochote!Aaah basi nawe utakua mjinga sana..Kwamba wanakubali mtu achafue taasisi yao? Ebu leo ongea baya kwa Rais tuone kama utaachwa huru
Nao hao 19 "wakiomba msamaha tuwapokee..." sound funny. Chadema wanajua kucheza na akili za wanachama nao wanashangilia.Mkubwa anawahadaa wenzake huku yeye akipokea ruzuku kupitia mlango wa nyuma. Serikali, Mbowe na wale wabunge wa viti maalum 19 lao ni moja tu.
Je Msigwa alishawapima akili kina Mbowe, Lisu, Mnyika na yeye mwenyewe kwa kukanusha kuwa Lowasa hakuwa fisadi? Unawezaje kuwaamini viongozi wa namna hii kwamba watakuletea maendeleo na unafuu wa maisha!Aliye Sema suala la kupimwa akili ni Msigwa, siyo Mbowe!
Nilikuwa na nia ya kukupa taarifa tu, kwamba aliye towa hiyo kauli, siyo Mbowe! Hayo mengine hayanihusu!Je Msigwa alishawapima akili kina Mbowe, Lisu, Mnyika na yeye mwenyewe kwa kukanusha kuwa Lowasa hakuwa fisadi? Unawezaje kuwaamini viongozi wa namna hii kwamba watakuletea maendeleo na unafuu wa maisha!
it will be too late pale utakapogundua kwamba chadema ni tawi la ccm, huezi kubattle chama kilichopo madarakani, na huezi kukitoa unless ni coup detat ama wananchi wenyewe waamue! if those factors arenot applicable then chama chenu kina support ya serikali nyuma plus unwritten ajenda!