Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa ni muda muafaka Mpina kuhamia huku!!! Rais Mahiri atatoka CCM.
 
Imagine FAM angekubali tu kumpa Chama Lissu Bila Yeye Kugombea, Chama Kingereza Kushika attention katika akili za watanzania?

Uchaguzi Umekuwa wa Huru na Haki? Yes!

FAM amekubali Matokeo? Yes!

Aibu Iko wapi hapo? Zaidi sana Chama Kimejiuza Mnoo!

Utadhani Dodoma Hakukua na Mkutano wa CCM kwa namna ambavyo Chadema ilivyoshika media zote
Kwa kweli pamoja na kwamba niko na Lissu ila Mbowe kukubali matokeo na kumpongeza Lissu ni level zingine za ukomavu wa kisiasi ndani ya nchi zetu hizi
 
Mwambie mama Abdul asitumie polisi
Kwamba aliapa Ili kuachwa mpuuzi mmja avuruge amani au? Samia sio kima kama nyie.

Atashughulikiwa tena mwambieni mapema aende taratibu asije jikita anahudhuria kesi mwaka mzima
 
ccm ndio muelewe kwamba mmeshachokwa na watu, wakala wenu mmemjaza mapesa kawagawia watu wameyapiga wakalala mbele.
 
Kwa kweli pamoja na kwamba niko na Lissu ila Mbowe kukubali matokeo na kumpongeza Lissu ni level zingine za ukomavu wa kisiasi ndani ya nchi zetu hizi
Yes ... Ni Ukomavu wa Hali ya Juu sana!
Tunachakujifunza kutoka kwa FAM
 
Hongera sana Tundu Antipas Lisu Kwa ushindi.

Hongera sana Mbowe Kwa kuwa muungwana na kukubali kishindwa.

Hongereni sana wajumbe na wote mliofanikisha shughuli yote kwanzia mwanzo mpaka mwisho Kwa ufanisi zaidi.

Ni matumaini yangu baada tu ya zoezi hili kumalizika Sasa zile timu Mbowe na Timu Lisu nazo pia zitakuwa zimevunjika mara moja, na wote kuwa kitu kimoja ambapo ni kumsapoti mwenye kiti mpya hili atimize ahadi zake pamoja na kiu ya watanzania wengi.

Naamini CHADEMA hapatakuwa na makundi au matabaka ambayo Aidha kazi Yao ni kumuombea mwenyekiti ashindwe na kumtetea pembeni kama ilivyo kwenye chama tawala.
 
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
 

Attachments

  • 913F8672-252E-4111-9F3D-E923A791C46B.jpeg
    913F8672-252E-4111-9F3D-E923A791C46B.jpeg
    120.1 KB · Views: 1
Sijaamini macho yangu kama Lissu kashinda. Hongera sana Lissu. Yule Mwenyekiti mpya wa BAWACHA aliyekataa kukuunga mkono usimweke pembeni. Pendaneni na mfanye kazi pamoja.
 
Back
Top Bottom