Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Washauri wa mama huenda wamepanga njama za kumharibia lakini yeye hajajua undani wake kaingia mkenge kiwepesi sasa jumuia za kimataifa zitamlaani vikali sana
Washauri! Hawa akina Mwigulu Nchemba? Shauri yake maana naye alionekana kutaka kujionesha ni mwema kuliko JPM.
 
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Washindwe kutoa mikopo kwa ajili ya kunyimwa kwa Democracia ya chama kimoja Cha chadema tuu au Tz tuna chama kimoja?
 
Wewe kwanza tengeneza budget yako unayo i fund 100%, halafu pili tengeneza internet yako ya mabua.

Kisha uitumie hiyo internet kutoa kauli hizo.

Lakini kama bado unategemea nchi za watu kuanzia budget mpaka internet services, kujikweza kwamba hujali wanachofikiri wengine ni upumbavu mtupu.
Haki zako haziwezi kuzuia haki za wengine. Wewe hauko sahihi sana kuliko wengine, na kama unadhani ninatakiwa kuwa na budget yangu na internet yangu ili kuupata uhuru wangu wewe una tofauti gani na madikteta wengine ?
 
Wapi nilipoandika hivyo? 😳😳😳 ni ngumbaru wa kusoma kilichoandikwa?
Washindwe kutoa mikopo kwa ajili ya kunyimwa kwa Democracia ya chama kimoja Cha chadema tuu au Tz tuna chama kimoja?
 
Kudai katiba mpya ni chokochoko? hizo katiba mpya Huko nyuma zilidaiwa kwa chokochoko?inaelekea wewe ni mnufaika wa uonevu wa mama kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu sasa huoni kuwa manyanyaso uonevu kwa chadema ni udikiteta
Huyu DJ naye kazidi!! NAni TZ hii alimtuma kutusaidia kudai katiba?? Au anaamini katiba mpya itamfanya awe rais? Sifa za kijinga.
 
M
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Mashirika ya kimataifa ndo waume zenu nyie wenyewe hamuwezi kujitetea mpaka mtafute wazibua mitaro?
Kuweni na heshima basi pia mlinde eshima ya uafrika wenu.

Na kama mnaona hamjakamilika basi mtafute hao wazibua mitaro wawape maeneo ya kuishi huko kwao muwe na taifa lenu.

Kila kitu mataifa kwani nyie sio taifa?
Mkijiheshimu mtaheshimiwa ila msipojiheshimu basi mtabaki kukimbia kimbia kama panya.
 
Napinga kwa Mbowe kufunguliwa kesi ya UGAIDI, labda tuaeme kesi ya ukaidi. Ugaidi sitaikubali hadi watuonyeshe ushahidi kamilifu ya huo ugaidi.
 
Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Kwanin polis wanahangaika nao kumbuka katiba inaruhusu midahalo na mikutano ya vyama vya siasa
 
M

Mashirika ya kimataifa ndo waume zenu nyie wenyewe hamuwezi kujitetea mpaka mtafute wazibua mitaro?
Kuweni na heshima basi pia mlinde eshima ya uafrika wenu.

Na kama mnaona hamjakamilika basi mtafute hao wazibua mitaro wawape maeneo ya kuishi huko kwao muwe na taifa lenu.

Kila kitu mataifa kwani nyie sio taifa?
Mkijiheshimu mtaheshimiwa ila msipojiheshimu basi mtabaki kukimbia kimbia kama panya.
Wazibua mitaro ndo hao wanaotupa ARV na chanjo kama zote bure, na ndo wachangiaji wakubwa wa bajeti
 
Haki zako haziwezi kuzuia haki za wengine. Wewe hauko sahihi sana kuliko wengine, na kama unadhani ninatakiwa kuwa na budget yangu na internet yangu ili kuupata uhuru wangu wewe una tofauti gani na madikteta wengine ?
Ungejua chochote kuhusu haki ungetetea utawala dhalimu unaokamatakamata wapinzani bila sheria wala mantiki?

Wewe unataka uhuru bila kazi, kwa kuwa mtu mwenye uchumi goigoi wenye utegemezi kwa watu wa nchi nyingine, unaelewa hata uhuru ni nini?
 
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.

View attachment 1862953
Mama alisema hataki mambo yakubambikiwa kesi? Je anaweza kusimama na maamuzi hayo?
 
Wazibua mitaro ndo hao wanaotupa ARV na chanjo kama zote bure, na ndo wachangiaji wakubwa wa bajeti
Hizo ARV chanzo chake ni wao, sasa kwa nini wasitoe dawa.
Bajeti ni ujinga wenu wa kila siku mnasema sisi hatuwezi na wao wanazidi kutukomoa kwa rasilimali zetu ili waendelee kutunyanyasa.
 
Hayati alipowanyoosha hawa watu mlimvaa mkasema dikteta [emoji2]... Nyie hawa watu wana siasa za kitoto na chafuzi zisizovumilika!!! Demokrasia haiko kwa kiasi hiko bwana! Wala huyu bi mkubwa hapati laana yoyote lazima awanyooshe hawa watu kwa maslahi ya Taifa.
Umeandika ugoro mtupu
 
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Wewe kwa akili yako, unaamini kwamba hayo mashirika ya kimataifa na nchi wafadhili wanafurahishwa na huo ujinga wa chadema wanaomfanyia Mama? Ulishaona kwao vyama vya upinzani vinafanya maujinga kama ya chadema nchini kwao? Upinzani unafanywa kwa nguvu ya hoja zenye ushawishi kwenye mabunge yao na baada ya hapo mabunge yao hupiga kura ya kukubali hoja au kuikataa na mambo huishia hapo; na maamuzi ya mabunge hayo huheshimiwa na kila mtu na kutekelezwa. Ndiyo maana ya demokrasia. Inavyofanya kazi kupitia wawakilishi wa wananchi kwenye mabunge yao. Demokrasia haimaanishi vyama vya upinzani kujambajamba ovyo mitaani na kuchafua hewa wanayovuta wananchi.

Mnajua kabisa kwamba hoja yenu ya katiba mpya ya Waryoba haiwezi kushinda kwenye bunge letu la sasa. Mngalikuwa na akili mngalisubiri kunadi hoja yenu hiyo nchi nzima na kwa nguvu zote kwa watanzania wote wakati wa kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 ili wananchi waamue. Kipindi hicho huwa ni kuanzia miezi 3 kabla ya uchaguzi mkuu kwa mjibu wa sheria na katiba ya nchi yetu. Mngalikuwa na akili mngalijua kwamba kufanya hivyo sasa hivi ni kuvunja sheria na katiba ya nchi na hivyo kukamatwa na polisi inakuwa halali yenu.
 
Ungejua chochote kuhusu haki ungetetea utawala dhalimu unaokamatakamata wapinzani bila sheria wala mantiki?

Wewe unataka uhuru bila kazi, kwa kuwa mtu mwenye uchumi goigoi wenye utegemezi kwa watu wa nchi nyingine, unaelewa hata uhuru ni nini?
Uhuru ni kuwachekea wale majamaa walio tangaza kua wana nyembe ya kumnyolea bim kubwa.
 
Dr ZWAZWA kwa ufinyu wa akili yako huwezi kuelewa hii kitu imekuzidi kimo sana. Endelea kutumia akili ya kushikiwa.

Back
Top Bottom