ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 647
- 706
Kwamba mlisubiri mpaka kongamano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini Sabaya aendelee kuwa gerezani wakati pilisi wameamua kuwekeza kwenye mradi wake wa kutengeneza ugaidi kwa walinzi wa mbowe?Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Nchi yenye maigizo kibaaoTunasubiri kwa hamu kuona Mbowe akifunguliwa mashitaka ili nione alipanga kuua viongozi wepi wa serikali? Ili afaidike na nini? Aingie ikulu au? Wenzake sita wanaoshikiliwa gerezani ni kina nani?..
hahahahahaha, jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili...wale wenzenu wapo kwa ajili ya maslahi yao wakihakikishiwa maslahi yao wanaweza hata kumuweka Mbowe kwenye kundi la Alqaeda na kushirikiana na hao hao CCM...
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Unafiki unao wewe mwenyewe ni mnafiki mkubwa sasa mbowe kafanya kosa gani? Kudai katiba mpya ni kosa kwa mujibu wa Sheria zako huko gheto unaposhinda ukivuta Bangi?Rais ameapa kulinda Amani na utulivu wa nchi hii na endapo akitokea mtu au watu wanaleta au kutishia Amani ya nchi lazima wachukuliwe hatu za kisheria, haijalishi ni kiongozi wa kisiasa au kiongozi wa kidini...
Itakuwa mafaili ya kesi hiyo alikwenda nayo yule bwana buseresere.Kipindi kile alituhumiwa anataka kulipua matank ya mafuta kigamboni sijui iliishia wapi....