Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Vituko ni pale itakapo onekana shahidi namba moja ni sabaya. Nimeanza kuona dalili za polisi kutapatapa, inawezekana walikua wanajiongeza bila kujua msimamo wa maza hausi, au maza hausi anakwenda kuwatoa sadaka watu na kuwaangushia jumba bovu
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Sasa kwa nini Sabaya aendelee kuwa gerezani wakati pilisi wameamua kuwekeza kwenye mradi wake wa kutengeneza ugaidi kwa walinzi wa mbowe?
Sabaya aachiwe huru kuja kuuendeleza mradi wake.
Kwa sasa serikali imewekeza hapo.
 
Tunasubiri kwa hamu kuona Mbowe akifunguliwa mashitaka ili nione alipanga kuua viongozi wepi wa serikali? Ili afaidike na nini? Aingie ikulu au? Wenzake sita wanaoshikiliwa gerezani ni kina nani?..
Nchi yenye maigizo kibaao
 
Delaying tactics tu nothing else, wameona wamuondoe kijanja kwenye uwanja wa mapambano ya Katiba Mpya, CCM ni wepesi kama pamba.
 
Unaandika upuuzi MTUPU.
Kama mnajua kwamba wako kwa ajili ya maslahi yao iweje tena mpitishe bakuli la matonya? Na wanapogoma kutoa mnaanza kulia lia!? Serikali ya kipuuzi hata vyoo mashuleni wanangoja nchi za wafadhili wakati huo huo wanajisifu na V8!!!

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema nchi inapita kwenye kipindi kigumu kutokana na wafadhili kupunguza misaada.
hahahahahaha, jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili...wale wenzenu wapo kwa ajili ya maslahi yao wakihakikishiwa maslahi yao wanaweza hata kumuweka Mbowe kwenye kundi la Alqaeda na kushirikiana na hao hao CCM...
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503

Ni kawaida kumsubiria m-beza Corona makaburini:

IMG_20210720_114420_251.jpg
 
Nilisema hapa kuwa Mama ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama bwana Chato.

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Rais ameapa kulinda Amani na utulivu wa nchi hii na endapo akitokea mtu au watu wanaleta au kutishia Amani ya nchi lazima wachukuliwe hatu za kisheria, haijalishi ni kiongozi wa kisiasa au kiongozi wa kidini...
Unafiki unao wewe mwenyewe ni mnafiki mkubwa sasa mbowe kafanya kosa gani? Kudai katiba mpya ni kosa kwa mujibu wa Sheria zako huko gheto unaposhinda ukivuta Bangi?

Utawala wa Sheria ni kuwabambikia kesi wapinzani, utawala wa Sheria ni kufunga barabara kushusha watu kwenye mabasi kuwapiga kuwabambikia kesi? Wewe ni mnufaika wa huo uonevu kwani tayari umelipwa posho kwa kutukuza uonevu unyanyasaji wenu kwa wapinzani
 
Kijana vipi mbona mavi yanagonga chupi au na ww ni mmoja wa maharamia wanaoshirikiana na mwenyekiti?
 
Back
Top Bottom