Ukisikiliza salamu za mh. Mbowe kwenye maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika utagundua kwa Africa kiongozi wa kariba ya Mbowe hakuna kwa busara na hekima alizonazo amethibitisha hilo pasi na shaka kabisa
 
Aliyefunika jana ni Bwana Mapesa
Hebu jaribu kutumia siku ya Leo kujitafakari jee wewe ni binadamu wa aina gani! Kisha kuwa mkweli rudi hapa na kutoa matokeo ya utafiti huo. Ukigundua una asili ya Igombe sema tuu, tutamuomba Kigwangwala akurudishe
 
Mbona promo nyingi kitu gani hapo chakushangaza mbona mnyika aliongea Kama hivyo pale ubungo mbele ya raisi lakini pia hata heche pia ila sijaona mkiwasifia Kama MBOWE misukule ya MBOWE inamatatizo kweli.
 
Mbowe nilikukubali, kumbe ndio maana 'kile chama' wanakuhofia!
You deserve to be a proper chairman of CDM, Hongera sana ulifikisha ujumbe mkubwa mno mno kwa dak 2!
 
Sijawahi kuona ukishangaa praise team wanavyotukuza jiwe kwa mambo yakijinga
Mbona promo nyingi kitu gani hapo chakushangaza mbona mnyika aliongea Kama hivyo pale ubungo mbele ya raisi lakini pia hata heche pia ila sijaona mkiwasifia Kama MBOWE misukule ya MBOWE inamatatizo kweli.
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Kuna hoja ya msingi Sana hapa Mkuu,, naomba isipuuzwe. Anyway umenena vyema.
 
Hakika bwashee, Mbowe anafanana sana na Mugabe wa Zimbabwe barani Afrika!
Hata ukejeli vipi, lakini ukweli unaujua. Na wenye akili wana litambua hilo.
"Mbowe ndiye mwenyekiti bora wa vyama vya siasa vilivyopo TZ ikiwemo ccm kwa sasa" Alisikika Rais mstaafu mmoja akisema.
 
Mbowe/CDM, ameamua kuachana na Lissu kijanja. It is up to Lissu kusuka au kunyoa. Siasa ya bongo inabidi utumie bongo.
 
Hata ukejeli vipi, lakini ukweli unaujua. Na wenye akili wana litambua hilo.
"Mbowe ndiye mwenyekiti bora wa vyama vya siasa vilivyopo TZ ikiwemo ccm kwa sasa" Alisikika Rais mstaafu mmoja akisema.
CCM ni Chama Dola.......huyo Mbowe wenzie ni akina Rungwe na Dovutwa!
 
Watz hatuna shida ila shida ni mtu mmoja
Na mtu huyo Ni Rais John Pombe Joseph Magufuli ambaye anauchukia upinzani wakati yeye mwenyewe ni zao la upinzani!!!
Kwa wasiojua ni kwama bila upinzani imara wa mwaka 2015, hakuna mwana CCM angemfikiria Magufuli kugombea Urais wa Tanzania.
 
Lini chadema walimtambua Magufuli Kama Raisi? Kuapishwa walisusa kuwa hawamtambui,bungeni alipoenda Kama Raisi walitoka kumkataa.

Watoe kwanza tamko la kumtambua Magufuli Kama Raisi.

Wanataka maridhiano na Magufuli Kama Nani kwao ?
Umepigilia humo humo
 
Igombe ni wapi mkuu

Mimi binafsi Bwana Mapesa alinifurahisha sana
Hebu jaribu kutumia siku ya Leo kujitafakari jee wewe ni binadamu wa aina gani! Kisha kuwa mkweli rudi hapa na kutoa matokeo ya utafiti huo. Ukigundua una asili ya Igombe sema tuu, tutamuomba Kigwangwala akurudishe
 
yaan kila kitu matakaga kuji involve tuu, chadema waliaadhimia kwenye kikao chao cha ndani kihudhuria
Sema Mbowe aliazimia
Siku mkija kujitambua ndio siku CCM itatoka madarakani
 
Mkuu hizo ni sharehe za Uhuru wa Waanganyika bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini , au kijinsia. hivyo chadema kushiriki hizo sherehe hakuna usaliti wowote au unajisi wa democrasia. wameshiriki kama watanganyika na ccm wameshiriki kama watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…