Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Maadhimisho ya jana yalikuwa na sura ya kitaifa iliyozoeleka. Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makini sana Mbowe.
Walifikiri kuwa Mbowe ni kama Lipumba?Wengi walitaraji angejiunga na ile timu maarufu ya kusifu na kuabudu
Haya ni mahaba yakoKwa maneno machache tu Mbowe speech yake ndiyo kila mtu anaiongelea kwenye kila mtandao, groups na hata vijiweni. Mbowe pamoja na mapungufu ana kipaji cha kuongea kuliko wanasiasa wengine. Lakini vilevile amekuwa presidential na ana heshimika na Watanzania huwezi kuzuia talent. Tujiulize kama nchi kwanini watu wamevutiwa na speech yake kiasi hiki
Umeandika vema sanaSihitaji kutukanana na wewe wala mtu yeyote for that matter. Nimeandika nachoamini na nina haki ya kufanya hivyo. Halafu kuandamana sio political strategy pekee na kwa kweli mimi sijazungumzia strategies, nimetaja strategists.
Sijawahi kumfatilia huyo Mange, simdharau lakini sio mtu wa mimi kumfatilia! Ni nani? Ni mtu wa caliber gani? Napenda kufuatilia wanasiasa makini, local and international sio Mange, whoever he or she is! Mange? Seriously!
Humu ndani hatulazimiki kuandika vitu vinavyofanana. Hili ni jukwaa huru na nitaandika kile ninachoamini bila kujali nitaitwa ' keyboard hero' or 'keyboard warrior'. Sheesh!!!
Umeandika vema sana
Maridhiano huwa ni ya watu waliohitilafiana hadi kufikia hatua ya kuumizana.
Sisi tumefikia huko?
Wenzako hawalioni.Maridhiano ni lazima na muhimu. Chama changu cha CCM, kikigomea usuluhisho, tutapata pigo kubwa kisiasa na tutakosa sifa.
Inajulikana kuwa CDM wanahitaji kujikosha na makosa yao ya kisiasa, wanahitaji wakati wa kupumua na kujitafakari.
Wapewe hiyo nafasi ni haki yao, upinzani madhubuti na wenye muelekeo ni tija kwa chama tawala.
MAAMUZI YAKE SIO YA MKUTANO MKUU WA CHADEMA.MKUTANO MKUU WA CHADEMA NDIO WENYE MAMLAKA MAKUU KWENYE MAMBO MAZITO YA CHAMAMbowe leo nimetangaza rasmi kutokukukejeli haijalishi ulifanya maovu gani huko nyuma lakini kwa ujasiri uliouonyesha leo nimejisikia amani sana ubarikiwe sana Mwenyekiti.
Binadamu tunabadilika hatuko static tuko dynamic, binafsi nilikuwa miongoni mwa watu waliokuchukia sana natangaza kuanzia leo nitakuheshimu daima umeonyesha uungwana kutii mamlaka zilizowekwa na Mungu umetumia maneno ya hekima na busara sana.
Keep it up.
Nadhani naweza ku'guess' ni nani unamwelekezea ujumbe huu, hata kama hukumtaja, wala mum'quote' kwenye bandiko lako.Watu wanaotaka kukaa pamoja kujenga nchi yao wanakukera nini we mrundi!!!? Tanzania tumezoea kuzungumza pale tunapohitilafiana kama umetumwa kafie mbele huko kwenu,,,ina maana huoni ufa wa kisiasa uliopo???
Wanaompinga hutumia chuki za kutokukubalika kwao ila Mbowe level ya juu kuliko wanaompinga hata wao nafsi zao zinawashuhudia. Speech yake fupi imekuwa na mvuto sana kwa wengi. Hata humu toka Jana sijaona Uzi unaomhusu kiongozi mwingine aliyekuwepo Mwanza utadhani Jana ni mbowe pekee ndo alihutubia. Big up Chairman.Kwa maneno machache tu Mbowe speech yake ndiyo kila mtu anaiongelea kwenye kila mtandao, groups na hata vijiweni.
Mbowe pamoja na mapungufu ana kipaji cha kuongea kuliko wanasiasa wengine.
Lakini vilevile amekuwa presidential na ana heshimika na Watanzania huwezi kuzuia talent.
Tujiulize kama nchi kwanini watu wamevutiwa na speech yake kiasi hiki
kinacho nishangaza Mbowe kaongea kwa dakika moja lakini mitandao yote inaongea kuhusu Mbowe na chadema hakuna hata anaye sema kuhusu hatuba za wanasiasa wengine akiwemo Magufuli. utafikiri Mbowe ndiye raisi.Unaenda kumpigia magoti mtu aliyemtandika risasi 38 nduguyo utadhani anaua CHATU na kama haitoshi akaendelea kumshughulikia vivyo hivyo huku akiwa hoi kitandani.
CHADEMA hakuna kitu