ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Mbowe anatapa tapa tu
Bada ya watu kugoma kuwabembeleza wanataka maridhiano,watu tupo bize nyakati hizi yeye aendelee na kususa tu
Upeo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana wacha baba zako wajadili wewe kacheze mdako usubiri kuitiwa chakula.Tupo kwenye mgogoro wa nini hadi waombe maridhiano?
God first
Kwan kuna ugomvi gani mpaka turidhiane?Pole mko wengi msiyoelewa maana ya maridhiano. Na tatizo kubwa liko upande ule wa kijani. Kudhani nchi hii ni ya kwao pekee. Wengine hawakujaaliwa ufahamu wa kutosha. Lakini kuna wengi sana hasa wasomi tuliyowahi kuwaamini wanaongozwa na matumbo yao. Maridhiano yatawapunguzia mkono kwenda kinywani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa yule mbunge wa zamani wa CCM anaitwa Nyarandu anawadanganyaMbowe hajitambui!
Nchi haihitaji maridhiano yoyote yale.
Hayo hayakufanyika sababu hakuna demokrasia,Kama raia wangekuwa na uhuru wa kukutanika na kufanya mikutano ungeamini kuwa mawazo yako Ni choo kabisa.
Kama unabisha acheni Uhuru muone mziki wake kwa mikutanona huenda bana kuba akakosa kura milioni mbili mwakani na huu ukweli pia anaujua
Kama unaona maridhiano hayafai, tufanye nini?Mbowe anataka tufanyia uhuni kama alioufanya 2015 kumpokea Lowasa, ukiukwaji wa haki za binadamu mwingi umefanyika mataifa ya nje yameona jinsi mambo yanavyoenda hakuna uhuru wa kujieleza nk, chaguzi iliyopita ya serikali za mitaa ilikuwa ni ushahidi tosha kwa yaliyotendeka sasa tumekaribia kwenye peak watanzania wamechoka mbowe kaitwa uko wanapojuana kadiwa donge nono anakuja na hoja zake eti maridhiano maridhiano yepi hayo ya uchaguzi urudiwe wa serikali za mitaa au vipi
Kiukweli wana siasa wetu tatizo sana
Kwani mtu anakupora mali yako kihuni kipi unatakiwa ufanye ni kudai nawe haki yako kihuni tu mpaka jirani aje wasuruhishaKama unaona maridhiano hayafai, tufanye nini?