FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

KWANZA ILE TIMU HAIWAHUSU MNAJIPENDEKEZA TU.

MUACHENI MO DEWJ AFANYE ANAVYOTAKA [emoji41]
Kuna watu wapo Kibaigwa na wengine wapo Tarime Ila huwaambii kitu kuhusu Arsenal utadhani wao ndio wamiliki wa hiyo timu😂😂


Sasa basi......... 😂😂
Kuna wajinga bongo wapo wapo kila pahali wanaamini kuwa Yanga ni timu ya wananchi Ila kila timu inapohitaji pesa hukimbilia kwa GSM kuomba hela, na hivi sasa wapo katika mchakato wa kupata hela za kujenga kiwanja Ila wanasubiri yule msela GSM dole kwanza.

Nikwambie kitu we babu.... ".. Hakuna timu inayofanya vizuri duniani pasipo kumilikiwa na mtu mwenye hela.

Kwa kukusaidia tu uondokane na uzuzu ni kwamba Simba inamilikiwa na mtu mwenye hela, hali kadhalika Yanga nayo inamilikiwa 😂😂😂

MO na GSM ni pipa na mfuniko, tulia utafute hela na wewe umiliki timu yako.
 
Baada ya miaka 54 hatimaye tumetinga robo champions league
 
Mungu wewe ni mwema nakuomba Mungu hawa utopolo wapigwe goli nyingi..... Hakika umesikia kilio changu....
 
Kila la heri Yanga, najua mtafungwa ila nawaombea
 
Hatutaki maombi yako yetu yanatosha ombea timu yako ambayo haijafuzu mpaka sasa ishinde kesho
Kumbe tunacheza Kesho?! Mchungaji Mashimo anasemaje? Nchi Kwanza, Yanga nawatakia kila la heri Leo baada ya hapo ni usiku wa VITASA. Tunaangalia ngumi
 
Me nimeziona mbili mbili bila.
Mpiga simu akipigilia msumari wa mwisho.
Vipi wewe mwananchi mwenzangu umeziona ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…