Waache kujipigia hovyo hii inakera sasa.
 
Hivi hii ndo inaitwa 'nusu uwanja'... Simba wamepiga kambi golini mwa Al masry
 
Wachezaji wa simba hovyo, uku ndio pa kupata matokeo lakini ubinafsi umewajaa sijui ateba anafanya nini, wanacheza utadhani wanaongoza
 
Duuh jamani simba, ndo nini hikii? Aaaah
Mbna kuumizana mioyo huku, 😒😒😒😒
 
Kombe la shirikisho lina Timu mbovu sana..mpira tumeona jana leo viungo wanaosha.
 
Dakika ya ngapi hukooo????🀨

Pamoja na wenyejiiiiiiiiiii 🀍🀍🀍🀍πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ🀭


Cc Smart911
 
Simba wanastahili kashinda hii mechi, Hawa waarabu Koko hamna kitu, Simba washindwe wenyewe tuu.
 
Ni chura aliye onja sumu tu ndiye awezaye kuponda hii mechi coz ana uchungu mwingi wa kuishia makundi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpanzu mmoja ni sawa na Pacome, Aziz Ki, Mzize pamoja na Ikangalombo kama kifungashio
Mpanzu ni tapeli sana. Ameisoma Simba kuwa huwa inapenda mchezaji anayekimbiakimbia hata kama hafungi wao watamfurahia tu. Na katika hili amefanikiwa sana kutukonga sisi wanasimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…