Hakika mimi ninamkubali sana Chama, ana akili kubwa sana kuamua matikeo kimataifa
 
Acha matusi. Hamia Yanga upate raha ya soka.
 
Hawna ujanja huo kwa sasa. Wanakichaka wanasema wanajenga timu
 
Mpanzu ni mzigo anataka kujifanya messi huku accurace ni sifuri, chenga nyingi na uchoyo
 
Jamani Simba acheni usengee qumamaqe, tunao umia ni sisi mashabiki, hivi kweli haya mnayo yafanya mnaona mazuri? Tunashindwa hata kuwasiliana na watu, hatujui kesho itakuaje huko makazini.

Yaan nilivyo na hasira hapa, kesho mtu aniletee usengee nalala nae mbelee. Maninaaa.
 
makolo hapo wanasubiria taifa waingize bm 4 za vibabu vifupi na mbuzi,taifa patanuka uchawi
 
Kapombe na Zimbwe wamechoka, watafutiwe wenzao, hawa kina vale na nani sijui watupishe, tumechoka kuishia Robo kila msimu, utadhani Nusu haituhusu khaaah.

Naumia mie hadi sijui nifanyeje aaaah
Mh! we mwana simba ila hujui wechezaji wako simba mnatakiwa mbadilishe safu ya washambuliaji.
 
MKOME
 
Simba ingekuwa na strikers wenye akili ya moira ...hata 3 angeshinda .
KIBU na ATEBA hawa ni watu wa kulazimisha zaidi ....
Timu inapohitaji infividual briliants....utankutw MPANZU anacheza mwenyewe
 
Kapombe na Zimbwe wamechoka, watafutiwe wenzao, hawa kina vale na nani sijui watupishe, tumechoka kuishia Robo kila msimu, utadhani Nusu haituhusu khaaah.

Naumia mie hadi sijui nifanyeje aaaah
Zimbwe amekomaa, hata akiumia anagugumia ndani kwa ndani ili alinde ugali wake. Simba na Taifa Stars haiwezi kuendelea kwa kukumbatia maveterani ambao wameshaproove uwezo wao unaweza kutufikisha wapi.
 
Mh! we mwana simba ila hujui wechezaji wako simba mnatakiwa mbadilishe safu ya washambuliaji.
Kwani mabao 2 yamepatikanaje? Si kupitia counter attack? Japo 1 limekataliwa, Mabeki kazi yao nini?

Pumbaav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…