Ifike hatua tuelezane ukweli, tuachane na dhana ya kupata penalty, ktk hatua km hii hakuna penalty holela, tucheze na kufunga mabao ya kawaida.Simba kapiga mpira mpaka waarabu wakalata tamaa wakati wanaongoza goli 1.Like walikuwa wanawaza kama kwetu ni hivi itakuwaje huko kwao? Wamekuja pata nguvu baada ya goli la pili.
Ila mcheza kwao leo imeonekana,simba kanyimwa penalt 2 za wazi.
Simba jipangeni
Yeah. Ingawa na wenyewe wana kaupapatupapatu fulani sasa hivi ila ni heri tuwakimbie tu mpaka tutakapoamua kuwa serious.Yaan hadi imekata stimu kabisa, sioni hata tukishinda mbele ya utopolo, kwa uchezaji huu? Nzengeli atapata hat trick,
Simba ni gharasa la karne. Poor us
Leo kwa kweli mashabiki wa Yanga tuna furaha. Yaani kuanzia Tabora mpaka Suez Canal, ni furaha tu.Naona leo una furaha hapo ulipo, haya bhana, mie sina neno.
Ateba leo, utadhani sio professional Player, nimechoka kabisa.Yeah. Ingawa na wenyewe wana kaupapatupapatu fulani sasa hivi ila ni heri tuwakimbie tu mpaka tutakapoamua kuwa serious.
Yanga wanaona heri wafungwe na Songea Utd ila siyo na Simba, wenzetu wanajua maana ya derby. Sasa wewe unaingia na wachezaji wasiojitambua kina Ateba na Ahoua si kujitaftia balaa tu.
Wachaa wee.Leo kwa kweli mashabiki wa Yanga tuna furaha. Yaani kuanzia Tabora mpaka Suez Canal, ni furaha tu.
Kumbe hilo boya lilijenga kibanda, shukrani mkuu.Hakuna penati pale, replay inaonesha Ateba alikuwa kwenye eneo la kuotea
Duh!...Kwa Mkapa nina uhakika mtapindua meza. Ila tu mhakikishe Ateba haanzi! Lakini pia Mpanzu apunguze kukimbia kimbia hovyo! Viungo wenu nao wachangamshe mchezo! They are too slow!!
Siyo leo tu. Sijui wachezaji wapya wa Simba huwa wanapatwa na nini. Mchezaji anakuwa wa moto mechi chache za mwanzo baada ya hapo ni majanga tu au leo yupo kesho haumuoni.Ateba leo, utadhani sio professional Player, nimechoka kabisa.
Mangungu aliona mbali kutopelekea timu uwanjani ile march 8Kwa hawa kina Ahoua, Ateba na Ngoma, mpewe tu pwenti tatu zenu za mezani tukutane mwakani. Mambo yasiwe mengi.
Huwa najiuliza kila siku, hawa professional players huwa wanapatwa na nn wakiwa Bongo? Unajua match za mtoano zina plans zake, sioni hilo kwao, na hata zile moments za kumshinikiza refa wao wanakuwa waduanzi km vile wa kutokea ndondo.Siyo leo tu. Sijui wachezaji wapya wa Simba huwa wanapatwa na nini. Mchezaji anakuwa wa moto mechi chache za mwanzo baada ya hapo ni majanga tu au leo yupo kesho haumuoni.
Samahani wakubwa magoli kafunga nani? Jini chal haua, Mukwala au Mpanzi. Huku umeme umekata halafu nasikia 2 bila.Simba ina kawaida mambo marahisi inayafanya magumu. Toka dkk 70 nilijua goli la 2 linakuja.
Ateba, Ahoua, Ngoma hamna kitu. Kocha anachelewa saana kufanya mabadiliko.
Ateba hajui kucheza kama striker, anakaa mbali na goli na hajui kumsoma Mpanzu akiwa anakaribia goli.
Niamini mimi,hatuna kocha
Tukiwambia acheni propaganda za kiswahili tengeneza timu mnatuona maaduiHuwa najiuliza kila siku, hawa professional players huwa wanapatwa na nn wakiwa Bongo? Unajua match za mtoano zina plans zake, sioni hilo kwao, na hata zile moments za kumshinikiza refa wao wanakuwa waduanzi km vile wa kutokea ndondo.
Hivi ngoma kucheza kote wydad, hata exposure ya kushinikiza hana, nashangaa mno.
Ngoja nikutafutie tabibu akusaidie makasiriko yakome mara moja...
"Mzabzab hebu ukuje kuna.....
mgonjwa hapa anahitaji tiba chonde chonde wahi.
Meaning like what!Kibu maifuti🤍🤍🤍🤍💪
Simba wamekuwa kama ukawa, kelele nyingi wanakimbia uchaguzi mafala waleSamahani wakubwa magoli kafunga nani? Jini chal haua, Mukwala au Mpanzi. Huku umeme umekata halafu nasikia 2 bila.
Nadhani wanafundishwa na kukumbushwa wawe wapole ili kulinda heshma ya nchi si unajua tunafundishwa nidhamu ya woga. Hili nilianza kuliona toka mashindano ya AFL tulipocheza na Al Ahly. Baada ya hapo niligundua tunakubaliana na hali yoyote tunayokutana nayo.Huwa najiuliza kila siku, hawa professional players huwa wanapatwa na nn wakiwa Bongo? Unajua match za mtoano zina plans zake, sioni hilo kwao, na hata zile moments za kumshinikiza refa wao wanakuwa waduanzi km vile wa kutokea ndondo.
Hivi ngoma kucheza kote wydad, hata exposure ya kushinikiza hana, nashangaa mno.
Kuanzia hapo kwenda kaskazini watu hawana utani na maisha,ujinga wanafanya Chadema wanatupa hasira sana,siasa zinaleta mabadiriko ya kilakitu,majizi yanaiba na bado yanaharibi Hadi mpira fuckerWalianza kwa kupita na utopwinyo kwa vitatu hadi Uto wakakomea makundi kwa mchoko yaaani waarabu ni wabadiiiii mno
Kwani mmefunga goli likakataliwa?.Nadhani wanafundishwa na kukumbushwa wawe wapole ili kulinda heshma ya nchi si unajua tunafundishwa nidhamu ya woga. Hili nilianza kuliona toka mashindano ya AFL tulipocheza na Al Ahly. Baada ya hapo niligundua tunakubaliana na hali yoyote tunayokutana nayo.
Nimeshasema mara nyingi hadi naonekana nina chuki binafsi kwa Zimbwe, kwa kile anachoofa uwanjani, hastahili kuwa captain wa Simba.
Lakini Bruno wa united Huwa anapiga makelele wamembatiza wa kulialia.mbaya wetu ni huyu muoga mkuu Samia anataka kupora.l kitu awape wabaya wetu waarabu arudishe Bandari mapema,waarabu wanatuchukia sanaNadhani wanafundishwa na kukumbushwa wawe wapole ili kulinda heshma ya nchi si unajua tunafundishwa nidhamu ya woga. Hili nilianza kuliona toka mashindano ya AFL tulipocheza na Al Ahly. Baada ya hapo niligundua tunakubaliana na hali yoyote tunayokutana nayo.
Nimeshasema mara nyingi hadi naonekana nina chuki binafsi kwa Zimbwe, kwa kile anachoofa uwanjani, hastahili kuwa captain wa Simba.
Watu wengi wanaangalia tukio la penati tu ila hawaangalii eneo alilokuwepo Ateba alikuwa kaotea, sio kuotea ilikuwa ni clear penati ile. Walivyofanya marejeo kwa camera ya picha ya mbali ilionesha hivyo. Watu wa VAR room wamejitahidi kutenda haki ingekuwa wameegemea kwa mwenyeji ubao ungesoma 3:0 leo kwa lile goli la tatu la offside.Kumbe hilo boya lilijenga kibanda, shukrani mkuu.