Na mbna hao walio sajiri watu wa kazi walifurushwa mashindanoni, tena wakiwa kwao?
Km una hoja ya msingi njoo nayo, ila hii ni mashudu, na haiko ktk mlengo nilio uzungumzia mie.
 
Na mbna hao walio sajiri watu wa kazi walifurushwa mashindanoni, tena wakiwa kwao?
Km una hoja ya msingi njoo nayo, ila hii ni mashudu, na haiko ktk mlengo nilio uzungumzia mie.
Tofautisha ugumu wa CAFCL na shirikisho
Yanga ilitolewa Kwa kuwa management ilizubaa ikiwapa wachezaji uhuru, mashindano yanaanza wachezaji wakawa hawana fitness.
Ila Yanga timu ipo usilinganishe na Simba, ukibisha ni kiburi chako tu
 
Haya ishi humo.
 
Mlifikiri na kule ni bongo mnajiangusha tu kama magunia ya mchele..🤣
 
Mpira una matokeo ya kikatli sana sema wacha wafe tu ndio burudani yenyewe.
 
Ulisikia wa Lionel Mesi anaachwa nje.?
 
Huwezi shinda ubingwa wa afriva kwa kutegemea mechi za nyumbani tu. Yanga alifika fainali sababy alikua anajipigia home na away. Simba hii tunaipamba ila bado sana. Yanga haya mashindano ingekua inapeta. Tarehe 8 simba tulikua sahihi kufyata mkia.
 
Pole saana Eng....

Hope Simba watatumia uwanja wanyumbani vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…