FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

Acha tuone nani mwisho wa siku watafuta comments kati ya PSG au Chelshit​
Jifunike blanketi hilo upige usingizi , akili yako ishachanganyikiwa , yaani wewe unaona hao washamba wako kutoka ligi ya wakulima wana ubavu wa kumsumbua Chelsea ? Na kibaya utakuwa umewabetia kushinda mamaeee ,umetoa sadaka kwa mhindi leo
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Qbaabake huyu dembele gani huyu, bora apewe tu dogo Lamine Yamal
 
Kazi haijaisha na tunaendelea kufanya ukeketaji kwa hawa washamba wenu kipindi cha pili , mmetudharau sana pimbi ninyi , tuna hasira
Sisi ndio the bluees
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…