NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Hii sera ya kuvuna usipopanda ( kununua magoli) kwa nia ya kuendeleza mpira wa miguu ndiyo inaua mpira wa Tanzania.Kwa matokeo haya Yanga wameshaumaliza mwendo kama ilivyokuwa kwa mwenzie Simba. Yanga wanatakiwa wamfunge magoli zaidi ya 4 kwenye mechi ya mwisho na hapo hapo amuombe Al Ahly amtandike Far Rabat wakati huo Al Ahly watakuwa wanacheza kwa ku relax kwasababu kaishafuzu point 1 inamtosha Al Ahly kuongoza group. Timu za Tanzania zijipange msimu ujao
Inauma sana KakaNimelia sana walaqhi mama yamgu weeeeπͺππππππππ
Pole sanaInauma sana Kaka
πππππ sasa simba inakujaje hapa? wee sema vizuri na FAR Rabbat hukooo.Umejaa roho ya kichawi tupu. Sasa YANGA ikitoka Simba itafadi nini zaidi ya kudorora zaidi na zaidi. Na mwaka huu makombe yote mtaendelea kuyaona kwenye TV tu labda mtapata kombe la mataputapuππ
Shukrani sana ndugu yangu
Tujipange mwakani28000 zinapotea kuangalia watu wamepaki ma SGR ujinga mtupu! Watu wanacheza low block 90min!! Mpaka Pacome kwa defender! Hata wakisema wafanye counter mbele kuna Mtu mmoja tu akitoa cros hamna mtu! Wachezaji wanapress - wa dk 90 hata angekua nani hawezi kupata utulivu wa kupass pass zenye macho lazima uvurugwe! Niliacha kuangalia dk ya 60 tu nikaona upuuzi! Watu wanacheza langoni kwenu saa zote utafikiri mmepaki Sgr labda Dodoma Jiji inacheza na Al Ahly
mmeshaanza hesabuKilichobaki kabilye apigwe kama ngoja tumuombee FA RABAT apoteze kwa al ahly hahaha wananchi bhna
Noumaaaaaaa!!!π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π
Tujipange mwakani
Kikokotoo bado hakitoi majibu sahihi anasubiliwa engineer apigwe konzimmeshaanza hesabu
Mbona mtasema yoteee safariii hii.Hapana kwakweli
Mwakani tusipeleke timu tujue moja! Haiwezekani miaka yote hamna timu imevuka robo! Hapo hapo Yanga na ubora wake inaoimbwa makundi ina struggle! Tunaidhalilisha tu ligi tutulie nyumbani mpaka 2027 - 2028
ππππππππKuna kitu nmekigundua NBC kimenikata sana! Sisi sio wakushindwa kupeleka timu hata moja robo fainali ikafika hata nusu! Ligi yetu hamna asieijua kwa sasa ila inakua kama hatuiishi imekua overhyped yani hatuitendei ligi haki! Timu 4 ziishie makundi kitu kimenikwaza sana! Heri Simba wa Excuse ila sisi wengine mpaka saizi hamna kitu! Manake sisi ni mabingwa wa kufika makundi tu baada ya hapo hamna kitu