FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

Wamorocco wengi ambao wanaishi uholanzi na Ubelgij wlni jamii ya Rievaa ndio hao akina hakimi. Walikimbilia wengi sana Ubelgij na uhalanzi baada ya mfalme Hassan 2 kuwaua kwasababu waliasi walikuwa wanataka kujitenga na kuwa nchi. Ila sasa hivi Morocco 🇲🇦 ni moja.

adriz de mbusii
 
Ndio maana nashangaa wapo wengi uholanzi
 
Oya tupe nondo tupe nondo nakubari nakubari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…