Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Keep those tears coming! We need them to cool down your Yanga players after they spent the entire second half chasing shadows. Cry louder!You got it all warped. Poor technical and tactical approach is what gave Simba an edge. That apart, it remains an ordinary club.
Mpanzu amenikumbusha Ronaldo de lima
Mkuu hatuna kocha pale game ya 5 mfulululizo uchezaji ni ule uleNaona kabisa krismas haimkuti kwenye sub hajuagi kachezea shilingi
Uzuri nilikuwa Uwanjani, nimepata machungu na raha kama zoteGhafla nimemmiss Kipenzi Changu
mlitufunga kabla VAR haijaja...ila sasa hv kwenye ukweli na uwazi janjajanja zenu haziwezi kufua dafuShabiki wa yanga atakayeumia nitamshangaa, hawa jamaa walitakiwa kushinda leo, miaka haihesabiki watu wanachezea tu, hadi ladha ya mpira wa watani ikapotea.
Kile kipara akina akili,kocha ana wachezaji wakila aina ila technique hana.Mkuu hatuna kocha pale game ya 5 mfulululizo uchezaji ni ule ule
Una,taka kuchoma Picha kwa Jirani Au sioπ€£πKumamakeee ba tamu hayupo, wee mchepukooo chukua Bolt njoo maghetoni, nauli juu yanguuuuuu.
πππππ
π€Za saizi !Tosha kabisaaaa na hydration break tunaenda
Mkuu, Derby ingeendelea tu hata kama tungefungwa Sababu Derby inatengenezwa na ugumu na pressure ya mchezo uwanjani. Yaani mngeshinda game inayofuata bado kungekuwa na Tension ya Derby.Leo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!
Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
Mwalimu hana shida, shida ni asilimia kubwa ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu wameshindwa ku upgrade timu,Shida ya Yanga sio wachzaji ila mbinu za mwalimu
Inakuwaje,nikiingia muda hivi niliona Uzi unasomeka yanga 22 simba 1.ππππππ nacheka km kichaaa wa ukubwani vileee.
Moderator alivurugwa, sijui ni shabiki wa yanga. AloooooInakuwaje,nikiingia muda hivi niliona Uzi unasomeka yanga 22 simba 1.
Kuna saa Simba ilicheza vizuri hadi nikajisemea I wish tungekuwa tumesajili striker anayejua kukaa kwenye nafasi na kutumia nafasi.Yanga kiukweli amefanyiwa unyanyasaji wa kijinsia leo. Possession imefika asilimia 70 kwa 30.
CHENGA TWAWALA NA MABAO TWAWAMWAGIA
Kulikuwa na sababu gani kulinda muda wote, na kutegemea mipira mirefu ya counter attack? Leo hata pasi 3 zilikuwa hazifiki.Mwalimu hana shida, shida ni asilimia kubwa ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu wameshindwa ku upgrade timu,
Mfano ameumia Abuya , Ngoma hawezi kum upgrade, akiumia Max ndiyo basi tena!