joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Leo sub zilitakiwa za kupunguza presha, dogo Casemiro nae alitakiwa aingie. Pale kati angekuwa Muda,Max,Ngoma na Casemiro, mbele angebaki Shalule na Mzize basi.Pale hakuna kocha, Yanga watafanya makosa kuendelea na huyu mwalimu.
Kalaleee, sukari inapanda hiyo, hospital kesho hakuna huduma ya dialysis, shauri yako.Shabiki wa yanga atakayeumia nitamshangaa, hawa jamaa walitakiwa kushinda leo, miaka haihesabiki watu wanachezea tu, hadi ladha ya mpira wa watani ikapotea.
Si ndiooooo, ππππUna,taka kuchoma Picha kwa Jirani Au sioπ€£π
Ulitabiri sawaGame 2-1 hii.! Simba bila shaka atashinda
Daah,nashangaa naingia now naona simba 2πModerator alivurugwa, sijui ni shabiki wa yanga. Alooooo
ππππ
Hata Shalulile kucheza dakika zote sijaelewa, kuna namna kocha alizidiwa akili pakubwa.Leo sub zilitakiwa za kupunguza presha, dogo Casemiro nae alitakiwa aingie. Pale kati angekuwa Muda,Max,Ngoma na Casemiro, mbele angebaki Shalule na Mzize basi.
Kabisanakazia
Yanga bingwaVipi mkuu, una lakusema? Tulia dawa iingie.
nimetengua kauli blazaKabisa
Mawaa upo simba?Daah,nashangaa naingia now naona simba 2π
Ndio maana huku kumepooza kupo kimya sana.
Injinia analia sana hapa uwanjaninimetengua kauli blaza
Nashangaa Nyegee zimenijia ghaflaa, sielewii zimetoka wapiii?Uduguu unachepukaa πΉπΉπΉ
Kila siku sio Jumapili leo Msimbazi walikuwa bora, so approach ya kuzuia ilikuwa sawa kabisa, ila kocha karata hakuchanga vizuri upande wa defense,inaonekana upande wa kuzuia kidogo hayupo vizuri. Ila yote kwa yote ndio mpira tumepigwa tuwe wapole.Kulikuwa na sababu gani kulinda muda wote, na kutegemea mipira mirefu ya counter attack? Leo hata pasi 3 zilikuwa hazifiki.
Ndiyo,nilivyoona 2 yanga nikajilalia zangu.Mawaa upo simba?
ππππKrismass mbali sana, kesho asubuhi anapaswa awahi kuondoka na ndege ya kwanza.
Kati timu ilikufaKila siku sio Jumapili leo Msimbazi walikuwa bora, so approach ya kuzuia ilikuwa sawa kabisa, ila kocha karata hakuchanga vizuri upande wa defense,inaonekana upande wa kuzuia kidogo hayupo vizuri. Ila yote kwa yote ndio mpira tumepigwa tuwe wapole.
Aaaaah jamaniiiii! Mie napentaaaaaaaaaaaaa!!!Hersi maji alikuwa anayaona makali kama ACID