Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Wanaweza wasipoteze tena mpaka mwishoYanga timu ni nzuri; inaanza vizuri halafu sub zinaiharibu! Timu ilianza vizuri sana; kocha alivyofanya sub tu, basi mambo yote yakaharibika! Sasa Simba wako kileleni; itachukua muda sana kuwafikia kwani huenda tusiwafiike tena.
Yaan wee acha tu. 😂😂😂Kimyaaaaa,Leo wangepiga kelele
Hatupotezi Match yoyote tena, mzunguko wa 2, tunawakamua tena, 😂😂😂😂 gudubaiii.Yanga timu ni nzuri; inaanza vizuri halafu sub zinaiharibu! Timu ilianza vizuri sana; kocha alivyofanya sub tu, basi mambo yote yakaharibika! Sasa Simba wako kileleni; itachukua muda sana kuwafikia kwani huenda tusiwafiike tena.
Leo ameupiga sanaAisee japo mpanzu ana madhaifu yake Ila mpira anaujua, tena mkubwa mno
Huo ndo uhondo wa mpira. Ndio maana Kuna kurudianaYanga timu ni nzuri; inaanza vizuri halafu sub zinaiharibu! Timu ilianza vizuri sana; kocha alivyofanya sub tu, basi mambo yote yakaharibika! Sasa Simba wako kileleni; itachukua muda sana kuwafikia kwani huenda tusiwafiike tena.
Kweli kabisaWanayanga tumeridhika kabisa......
Hujui mpira Bayern anamfunga bayern hata mara 20 na bado ni derbyLeo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!
Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
We uliandika uzi wako simba wana sex nn!!!? Ushaufuta?Hii ndio Barcelona ya bongo haijalishi itakuaje
Utafikiri anakunywa aloveraHersi maji alikuwa anayaona makali kama ACID
Nomaa sanaa, 😂😂😂Kimyaaaaa,Leo wangepiga kelele
Sijajua kumbe wamefuta🤣 malaikaWe uliandika uzi wako simba wana sex nn!!!? Ushaufuta?
Hiyo lini hiyoo, hiyo leo hiyooo..! Sawa Anko.Subiria msimu uishe anko wangu utaona ni bingwa wa nini